KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hali ni mbayacmwanangu....kwa kifupi tunanyooshwa....Hata viwanja haviwahusu....wanang'aa sharubu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni mbayacmwanangu....kwa kifupi tunanyooshwa....Hata viwanja haviwahusu....wanang'aa sharubu tu
Chips mayai na baga zilizotupwa na wahindi. Wale mbuzi wanajua alama za barabarani na taa za kuongozea magari kama binadamu.Wafugaji wapo dar,hadi kariakoo watu wanafuga mbuzi kibao utazani Ranchi,maeneo ya mchikichini,sa sijui wale mbuzi wanakula nini
Nasikia wale mbuzi ni wa kishirikina ndio maana hawagongwi na magari wala huwezi kuona mizoga yao..kwa mujibu wa Mshana jrChips mayai na baga zilizotupwa na wahindi. Wale mbuzi wanajua alama za barabarani na taa za kuongozea magari kama binadamu.
Uniwekee chooni! Ndo maana mlegezo wako huo haupandiKwetu Uswaz nyumba ya vyumba viwili tunakaa familia nzima babu..bibi..baba..mama ..sisi+ wajukuu labda tukuwekee godoro chooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Uta anzajee kwa mfanoo?Lakini nimekuzidi IQ......
Aisee jana pale magomeni kwenye bara bara ya dart nilipishana na mbuzi wengiiiii.. Daaah.Wafugaji wapo dar,hadi kariakoo watu wanafuga mbuzi kibao utazani Ranchi,maeneo ya mchikichini,sa sijui wale mbuzi wanakula nini
bitoz we2! wa JfSwali lako mbona km IQ ndogo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahaha!! Hohohohoho...!!!! uyo zimeziidiHalafu tabia yako ya kutolipa nauli km jamaa kwenye picha hapo juu kwa kujifanya una IQ kubwa uache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]