Maajabu ya Joto City!

Maajabu ya Joto City!

Wafugaji wapo dar,hadi kariakoo watu wanafuga mbuzi kibao utazani Ranchi,maeneo ya mchikichini,sa sijui wale mbuzi wanakula nini
Chips mayai na baga zilizotupwa na wahindi. Wale mbuzi wanajua alama za barabarani na taa za kuongozea magari kama binadamu.
 
Chips mayai na baga zilizotupwa na wahindi. Wale mbuzi wanajua alama za barabarani na taa za kuongozea magari kama binadamu.
Nasikia wale mbuzi ni wa kishirikina ndio maana hawagongwi na magari wala huwezi kuona mizoga yao..kwa mujibu wa Mshana jr
 
Baada ya waporipori kushindwa maisha ya Joto City mmeleta msumo wa "wanaume wa Dar"

Acheni hizo bwanaa
 
c1320ba45ab3499592781e52d3495de2.jpg
 
Kwetu Uswaz nyumba ya vyumba viwili tunakaa familia nzima babu..bibi..baba..mama ..sisi+ wajukuu labda tukuwekee godoro chooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Uniwekee chooni! Ndo maana mlegezo wako huo haupandi
 
bitoz we2! wa Jf
Halafu tabia yako ya kutolipa nauli km jamaa kwenye picha hapo juu kwa kujifanya una IQ kubwa uache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu tabia yako ya kutolipa nauli km jamaa kwenye picha hapo juu kwa kujifanya una IQ kubwa uache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha!! Hohohohoho...!!!! uyo zimeziidi
 
Back
Top Bottom