Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie haitoi ssuti na zile punctuation edits zimefreeze kabisaa...Mods tufikirieni watumiaji wa app kwenye suala la kuplay videos kwa urahisi lazima mkubali kwamba si kila mtu anapenda kutumia browser msitukomoe jamani
Mbna hamna anaeikimbia ..... itakuwa wameuweka wenyeweMaajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819
Hatari sijui dhambi gani hiyo imemkera mwenye dunia yake unachomwa mapema hivyo..duh kaanza kuchomwa kabla ya parapanda
Tuongeze mema hapa duniani maana...Hatari sijui dhambi gani hiyo imemkera mwenye dunia yake unachomwa mapema hivyo..
Aloyeondoa mfuniko nani? Itakuwa uliwashwa kwa makusudi na lengo fulaniMaajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819
Mbona kama shughuli ndo ilikua inaendelea?Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819
Yasije kuwa ni maigizo.Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819
humo ndani uwenda kuna siafuMaajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819
Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
View attachment 2506819