Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

Ndo maana st Marys zimepotea coz walikuwa wanaajiliri kila mganda na mkenya anayejua kiingereza. Kumbe walisahau kuwa ualimu sio kiingereza wala kiswahili wala kifaransa. Ualimu ni profeshion
 
ukweli ni kwamba KIU ni kimeo,wote wengi wanaosoma pale ni magharasa.kuna jamaa yangu yupo kozi pale ya conflict resolution and peace building,yeye yupo full time, lakini muda mwingi yupo South Afrika Kikazi na akirudi anawekewa paper yake na anachana,nilimshauri kama anatafuta elimu,bora hata aende Tumaini.

Umenichekesha sana mkuu
 
Ukiona neno "international" kimbia kabisa hiyo ni indicator ya wababaishaji.
 
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia

attachment.php
du!huu uzi bado upo tu???
 
hiyo paper ni fake... me nimesoma pale course ya IT paper tulizokuwa tunafanya zilikuwa nondo kweli, nashangaa hiki ki ppr uchwara kimetoka wapi :what:
 
Kama maswali yenyewe ndiyo hayo,bora topics nijifunze kwa kutumia video tutorials na notes mtandaoni
 
Daah kweli hawa wa Kampala internationally university ni vilaza
Lecturer=lecha.??

mkuu mimi wanafunzi wa hii kampala INTERNATIONALLY university mara nyingi sana hua nawambia wawe BE CAREFULLY na hiki chuo naona hua hawanielewi sijui
 
Kwa hiyo waliofeli KIU tuwaweke kundi gani?Tunashangaa huo mtihani lkn amini usiamini kuna wengi walioufeli huo huo mtihani.
 
Mimi sisomi Kampala ila naishi jirani na hicho chuo, mleta mada ni muongo.
 
ukidhalilisha IPO Siku utadhalilishwa. Mi namfaham lecturer mmja kiu sio mbovu kias hicho.

lkn pia nyiny ma IT mnaopinga paper hii tupia paper halisi ya dent wa 3yr
 
Mwanzo nililamini hila sasa napata mashaka na habari kama hizi japo kua mimi siku soma hapo kiu....tuache uwongo jamani ni dhambi
 
acheni kuponda vyuo vya wenzenu,ivi jamani vijana wa kampala inshu yenu imeisha au mkuu wa wilaya kapiga chenga tena?
 
Back
Top Bottom