Maajabu ya Kampala International University

Iwe jokes isiwe jokes lkn naweza kuwa Shahidi wa ubovu wa product za hiyo Gongolamboto University,juzi nikiwa kama sehemu ya panel ya usaili katika zoezi la kuajiri somewhere nilithibitisha ubovu wa candidates wawili wote ni graduates wa hicho Chuo,katika mtihani(written) ilikuwa ni aibu kubwa,walipitwa hata na madogo fulani Diploma holders wa TIA na Chuo cha maendeleo ya Jamii,na katika oral ndo kabisaa nilichoka na kuchoka.
 
Hii si paper ya darasa la tatu hata mtoto wangu aliyeko st annes atajibu . Kama ni hivyo basi ngoja nimterminate aende hapo kuchukua digrii
 
Mmmh! Kama wanafunzi na malecturer wenyewe zao sawa na matokeo ya mwaka huu mnatarajia nin?
 
Nimeipenda hii, ntamshauri jirani ampeleke mwanae aliyepata division five akasome nna imani atatoka na first class.
 
Ndio maana elimu ya Tanzania haimkomboi msomi wa Tanzania sababu ya usanii kuwa mwingi mpaka katika masuala ya msingi.
 
SIo kweli, ni mtu kachukuwa Logo yao kaiweka kwney word akatengenza huo mtihani ambao hata instructions hakuna. Mitihani pia ian format yake, kama muda, istructions, code za somo,date n.k
 
Kuna haja ya kufuta hivi vyuo vya magumashi! Huu ni mtihani ambao anatakiwa kuufanya mtoto wa form one Kayumba au mtoto wa darasa la pili st wenye hela.
 
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia


Are we serious?huu ni mtihani wa kumpa mwanafunzi wa mwaka wa tatu?Mimi ni mwanafunzi wa computer lakini siwezi kukubaliana na utungaji huu wa mtihani.Maswali ya kitoto kabisa na ambayo anatungiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza muhula wa kwanza tena maksi mbili tu na si kumi. Hivi tutajivuna tuna wataalamu kwa maswali kama haya.Hii ni namna ya kuua elimu.Wahusika TCU wawe makini.huu ni mkakati wa kuzalisha mbumbumbu zaidi.
 
hakuna mtihani wa hivyo pale KIU, huu ni uchafuzi due to high competetion katika market nowdays, kuna vyuo hapa mjini vinaanza havina njia ya kupata wanafunzi, external examiner hawezi kuruhusu ntihani kama huo ufanyike kwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu, labda sociology ndo huwa level yao ya compueter iko hivyo.
 
Kuna hii issue ya karatasi la mtihani wa majaribio kutoka Kampala Int.University tena wa mwanafunzi wa 3rd year.Karatasi hili limewekwa kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali mfano джеоф йона | Facebook


Jamani kama hiki kitu ni cha kweli, hiki chuo hakifai kabisa.Hapo unapima nini na je huyo mwanafunzi atakuja kusaidia nini huku kwenye jamii.
 
Hata kama chuo icho ni cha kuungaunga vp... hii haiwezekani! kwanza maswali yenyewe ni ya discipline tofauti Ict, geography!!!! ooh NO!! na hii ndo shida yetu watanzania badala ya kufikir vitu vya msingi tunakaa kubuni ujinga km huu!!! MUNGU ATUSAMEHE!
 
it cant be pamoja na kuwa chuo chenyewe magumashi....
 
Tanzania is a damping place....where all rotten things dumped...even hon Mulugo, damped!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…