Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Iwe jokes isiwe jokes lkn naweza kuwa Shahidi wa ubovu wa product za hiyo Gongolamboto University,juzi nikiwa kama sehemu ya panel ya usaili katika zoezi la kuajiri somewhere nilithibitisha ubovu wa candidates wawili wote ni graduates wa hicho Chuo,katika mtihani(written) ilikuwa ni aibu kubwa,walipitwa hata na madogo fulani Diploma holders wa TIA na Chuo cha maendeleo ya Jamii,na katika oral ndo kabisaa nilichoka na kuchoka.
