hicho chuo kimejaa uhuni mtupu,nakifahamu! nawashauri wanafunzi wake waje hapa kwangu wawe wananisaidia kazi za ndani,maana wanapoteza muda na pesa!
Sidhani kama ki uhalisia chuo ambacho kimesajiliwa na NACTE na chenye hadhi ya kuitwa chuo kikuu wanaweza kutoa mitihani kama hiyo. Labda kama umedhamiria kutuchekesha mkuu.
kama ikiwezekana wafunge vyuo vyote tubakie na teofiloView attachment 82960
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia
Kuna vyuo vikuu vichache sana ndivyo vyenye hadhi,ila vingi kimeo tu bora hata colloge.watu wanasoma mradi apate digrii na si ubora wa digrii.
Na wewe lazima utakuwa umesoma hapo kwenye bold..
Lakini KIU si wapo? Wakanushe au watulie kimya kama ni kweli!Hii niliiona kwenye Facebook. Nadhani ni watu wametengeneza.
Sidhani kama mwanafunzi wa mwaka wa tatu tena kozi ya computer science anaweza kupewa mtihani huo