Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

hicho chuo kimejaa uhuni mtupu,nakifahamu! nawashauri wanafunzi wake waje hapa kwangu wawe wananisaidia kazi za ndani,maana wanapoteza muda na pesa!

Una kipele wewe.....sema wakukune mkuu
 
Acheni siasa chafu na elimu hichi kitu sio kwel kabisa lecha gani anaweza kutoa pepa hio me bado sijaamini kabisa
 
mh! hii ni uongo jamani kha! huo mtihani ni mtu tu atakuwa katengeneza kuja kutuchekesha hapa...maswali gani hayo na ujibuji gani wa maswali kwa mwaka wa 3? NO! kwanza kuna KU na KIU...YAANI KAMPALA UNIVERSITY NA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY...mtoa mada umechanganya madesa kwani ktk title yako umekiita hicho chuo KAMPALA UNIVERSITY wakati ni KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY....
 
View attachment 82960

huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia

attachment.php
kama ikiwezekana wafunge vyuo vyote tubakie na teofilo
kisanji tu[TEKU] ni mtazamo tu
 
Kuna vyuo vikuu vichache sana ndivyo vyenye hadhi,ila vingi kimeo tu bora hata colloge.watu wanasoma mradi apate digrii na si ubora wa digrii.
 
Kuna vyuo vikuu vichache sana ndivyo vyenye hadhi,ila vingi kimeo tu bora hata colloge.watu wanasoma mradi apate digrii na si ubora wa digrii.

Na wewe lazima utakuwa umesoma hapo kwenye bold..
 
Vyuo n vya serikal tu,ndo kunakukomaa,vingne biashara,kdogo mum,saut-mwanza,na st.john koz za udaktari.
 
Hii niliiona kwenye Facebook. Nadhani ni watu wametengeneza.
Sidhani kama mwanafunzi wa mwaka wa tatu tena kozi ya computer science anaweza kupewa mtihani huo
Lakini KIU si wapo? Wakanushe au watulie kimya kama ni kweli!
 
kama paper zao ndo hivo bora na wale walifeli form 2 waende huko wakasogezi siku kama huyo aliyejibu hilo paper
 
Duh, mwaka wa 3 anaulizwa what is computer, types of computer?
"siasa kwanza elimu baadae"
 
Inafaa kuwa jukwaa la jokes. Acha utani kwenye elimu bana
But nimecheka thanks coz you have made a my day
 
Back
Top Bottom