Maajabu ya Kampala International University

Maajabu ya Kampala International University

1508504_810441895680810_2620503840374324172_n.jpg
 
Imekosa vigezo vya kufanya niamini, mfano it is not so easy kumuulza mwanauniversity swali la 3 vingine walioona watasema wao.
 
Kama na wewe umeamini kuwa huu ni mtihani wa chuoni, basi haujawahi soma chuo, kama umewahi soma basi ni garasa! Mbona huo mtihani/ CAT unaonekana kabisa ni wa kutengenezwa na mtu kuchafua jina? Kuna formats za mitihani na CATs jinsi zinavyokuwa set. Watz wengi ni wajinga na wapumbavu nimeamini, kutokana na uchangiaji wa uzi huu.
 
jamani vyuo vikuu nchi hii ni UDSM, SUA, MUHAS, ARDHI, DUCE na kidogo UDOM,MZUMBE. vingine hivo ukienda for ur own resk

Na hivyo vingine ni nini? andika kirefu cha DUCE tuone
 
ww umesoma chuo gan kati ya hvyo hapo juu? RESK unamaanisha RISK?
 
Hicho chuo wako vizuri tuu, , kuna maprofesa wako poa tuu, acheni kuwachafua bhana, me nna uhakika baadhi ya wanafunzi wakifanyiwa compee na vyuo vingine vya bongo wanawatoa nishai kabisaa
 
Uongo Mtupu! Nimemaliza Master Yang Pale, Niwajuavyo Wale Maprof Hakuna Kitu Kama Hicho. Kama We UDSM! DIT,ulichagua Wewe Na Wenzako Wamechagua Pale Wivu Wa Nn? Ni Ujinga Na Utoto Huo.
 
Kuna umuhimu wowote wa kuweka jina International University?
Mbona neno University linajitosheleza tu.
 
Back
Top Bottom