Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni CCM Arusha, Joshua Nassari aubamiza Upinzani

Uliyosema kwa aliye na akili timamu atakuelewa na kutafakari. Kwa aliyejivua ufahamu atasema unasapoti CCM
Sidhani kama ni vema sasa kumuamini Lissu mana alimvua nguo Lowasa kisha yeye mwenyewe akamsafisha

Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough
 
Wachangiaji kutoka huku Kaskazini wamepungua sana, na sababu mimi ninaijua.

Upinzani una hali ngumu sana ambao hauja wahi kukutana nao kisiasa.
Injili ya CCM imewaingia sana wapiga kura kwa hiyo kazi ni kuwafanya wapiga kura warudishwe kuipigia kura upinzani, nionavyo na ninavyo zungumza nao kama wamehama upinzani.

Hivi nina post tayari nitapigiwa simu kama 30 hivi muda mfupi tuu baada ya mchango wangu huu.
 
Uliyosema kwa aliye na akili timamu atakuelewa na kutafakari. Kwa aliyejivua ufahamu atasema unasapoti CCM

Wewe na yeye nyote ni buku 7. Kusema mna support CCM mbona ni kujikweza mno?
 
Ukweli ndio huo. Lissu alijaribu mchezo wa kuigiza eti ashambuliwe ila asiumie bahati mbaya wezie kwenye mchezo wakabadilisha gear angani. Leo hathubutu kuusema ukweli. Nassari yeye kaigiza kushambuliwa eti risasi ikawauwa mbwa. Amegundua kumsingizia mtu uovu kama huo tena wa kuua ni machukizo kwa Mungu wa Mbinguni
Ametubu na anayasema hayo kwa kuikandia CDM. Mungu ataendelea kuwaumbua wenye sera za uongo na maigizo
 
Huyu dogo kuna mtu alikufa kwa ajili yake 2010, wanasiasa watu wa hovyo.

Vv
 
Upinzani hawana jipya kwa sasa...๐Ÿšฎ
Magufuli anatosha kuwa Rais wa Tanzania...Tumpe Mitano tena
 
Upinzani hawana jipya kwa sasa...๐Ÿšฎ
Magufuli anatosha kuwa Rais wa Tanzania...Tumpe Mitano tena

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa kuyazingatia misingi ya haki na kuheshimu uhuru wa watu, Magufuli hafai.

Mimi na washirika na washirika wangu hatuwezi kumpa Magufuli hata kama ni ubalozi wa nyumba 10.
 
Hil umelizingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ