diwani tajiri
Senior Member
- Oct 14, 2017
- 162
- 788
Kaa kimya asee Arusha huijui. Huyu yupo kwa wameru wenzake huko.HUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya asee Arusha huijui. Huyu yupo kwa wameru wenzake huko.HUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Maswali yako mazuri na majibu unayo mwenyewe.acha kutuzuga mkuu.Ya akina Azory yametokea, Magufuli yupo madarakani, unadhani nini suluhu kwa mtu kama mimi na wewe?
Huyo aliyefutwa ubunge karudi CCM. Nini suluhu kwa walalahoi?
Vipi unataka nikupe hela ukanywe chai?
Sidhani kama ni vema sasa kumuamini Lissu mana alimvua nguo Lowasa kisha yeye mwenyewe akamsafishaMwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
Maswali yako mazuri na majibu unayo mwenyewe.acha kutuzuga mkuu.
Kijana ataishia kuwa wa kulialia kama Lijua.Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu aliponusurika kuuwawa. Je, ni Kwamba amesahau tukio lile au aligundua kuwa hatua ile ilikuwa halali?
Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
Ama kweli nani alijua kuwa petro katawi alikuwa afisa kipenyo wa daraja fulani huko?
Ama kweli staajabu ya Mussa!
Sidhani kama ni vema sasa kumuamini Lissu mana alimvua nguo Lowasa kisha yeye mwenyewe akamsafisha
Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough
Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu aliponusurika kuuwawa. Je, ni Kwamba amesahau tukio lile au aligundua kuwa hatua ile ilikuwa halali?
Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
Ama kweli nani alijua kuwa petro katawi alikuwa afisa kipenyo wa daraja fulani huko?
Ama kweli staajabu ya Mussa!
Wazamani tumemchoka na ngonjera zakee, tunamtaka gambo ili heshima ya arusha irudiii.
Nasari aliuza mpk jimbo
Hakuna makosa madogomadogo Kwa MUNGU, wapo watu ambao hawajaua, hawajatesa na pengine hawana hata mpango kabisa, lakini hiyo haiwafanyi kuwa watakatifu, na motoni wataenda kwa makosa mengine (hayo unayoyaita madogomadogo😂)
Kwahiyo wewe unaweza kuishi Kama masikini hapa duniani, na baadae ukaishia motoni, na mwenzako akaishi maisha ya raha hapa duniani kisha mkakutana wote huko motoni.
Maswala ya Imani Ni magumu Sana,hivyo achana na Hilo jukumu la kuhukumu binadamu wenzako,juu ya mahusiano yao na MUNGU.
Kuna mwingine kafanya wengine vilema, wengine wakiwa na wengine wajane.
Nadhani heri wa kumvua nguo fisadi kuliko huyu aliyeleta vilio na maumivu ya kudumu ya mwili pasipo na uhalali wowote.
Kusema "no!" kwa katili huyu hiyo ni wajibu wa kila mpenda haki na uhuru wa watu na hasa kila aliye mzalendo wa kweli.
Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough.
Jamaa yetu huyo! Endelea kupiga kelele jukwaani kamanda ila huku chini kama kawa.
Jamaa yetu huyo!
Daah! Kweli dar kubwa!
Hivi Arusha ni ya wapi?
Siajabu akasema hata mbwa wake hakuuawa kwa kupigwa risasi, huwezi ukatoka upinzani ukahamia CCM kichwa kikaendelea kuwa salama,lazima kichwa kipate mawenge wenge.