Njaa mbaya Sana. Alisahau kuwa umaarufu alivikwa na Chadema. Nje ya chadema hana ushawishi.Je huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mbaya Sana. Alisahau kuwa umaarufu alivikwa na Chadema. Nje ya chadema hana ushawishi.Je huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
Arusha sio huko kwenu NanjilinjiHUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Kupiga kelele jukwaani sio kuwin hadhira iliyoko mbele yako.TULIENI SINDANO IWAINGIEE. NASARI ANAWASIGINA VIZURIII.
Ndio maana hata ndani ya CCM wajumbe wakamuonyesha kuwa yeye ni taka ngumu kusindikwa ni shida, wakakataaa!Njaa mbaya Sana. Alisahau kuwa umaarufu alivikwa na Chadema. Nje ya chadema hana ushawishi.
Mwambieni lema afungashe virago arudiii moshiiii kibarua kineota nyasiiiKupiga kelele jukwaani sio kuwin hadhira iliyoko mbele yako.
Kijana kwanza kesha poteza credibility yake na aweza hata kumtoa mke ili apate chochote
HUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
KAMUULIZE LEMA KWAO NI WAPI??Hivi Arusha ni ya wapi?
Hakuna shida, kura zikikataa ataondoka tuu kama tunavyotaka afanye Magufuli kura zake zisipotosha aondoke kwa amani.Mwambieni lema afungashe virago arudiii moshiiii kibarua kineota nyasiii
KAMUULIZE LEMA KWAO NI WAPI??
Kweki kabisa, kama risasi zinapigwa kushoto halafu anaumia kulia, yafaa kumwamini lisu.Ila Magufuli ndiyo wa kumwamini kwa sababu anathubutu kunena Mungu hoyeeeee?!
Akinena hayo, wakati huo huo wengine wakipotea, wengine wakiokotwa kwenye viroba na wengine wakieruhiwa kwa risasi mchana mchana?
Ila Mbowe?
Mbowe, Lissu, Maalim, Membe, Zitto nk kazeni hapo hapo kuna mitu inazidi kuchanganyikiwa karibu itaanza kuokota makopo.
Kama chadema mnafyekana wenyewe na hampelekani mahakamani, awabembeleze? Adui mwombee njaa.Yupo anayefanya sarakasi kuliko Magufuli?
Hajali maisha ya kina Azory, Ben, Lissu na wengi wa kwenye viroba?!...
Ila kweli wanachama wa chadema skili zao ni sawa na za nyumbu. Hivi kweli Mbowe ana jipya zaidi ya mapambio yasiyo na maneno?Mbowe kawashika pabaya kila bandiko huachi kumtaja.
Jiwe kakushikia akili hakuna unapothubutu kumtaja hata kwa jina lake....
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
TULIENI SINDANO IWAINGIEE. NASARI ANAWASIGINA VIZURIII.
Ila kweli wanachama wa chadema skili zao ni sawa na za nyumbu. Hivi kweli Mbowe ana jipya zaidi ya mapambio yasiyo na maneno?
Hata Lissu mwenyewe🚶.Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
Dogo jinga kafika bei, hana analoweza kuwashawishi wapiga kura wa Arusha mjini.
Hao wapiga kura wa mjini ndio waliomwingiza kwenye siasa, walitia nguvu kampeni zake kwenye ule uchaguzi mdogo. Leo amejiunga na CCM anauponda upinzani uliomjenga.
Huo mdio mwisho wake kisiasa. Atunze hela alizonunulika zimsaidie, vinginevyo ameanza maisha marefu ya ujana wa msoto kutokana na usaliti wake kwa wapiga kura.
Huenda Mungu asiwe na ushirika na Magufuli kwakile mnachodai kuwa Ni muuaji, lakini pia aiwe na ushirika na wewe kwa mmbo kengine madogomadogo, hivyo basi, achana na kazi ya kutoa hukumu.Utopolo FC.
Hivi kweli jiwe ana jipya zaidi ya uvumbuzi huu:
Mungu hoyeeeee!
Na manyumbu hata kesho yataitika tena, hoyeeeee!
Mungu hana ushirika na wauwaji, watesaji au watekaji!
Na muiache mipango yenu ya wizi wa kura maana huko ICC hamtamsindikiza.
Hata Lissu mwenyewe🚶.