Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wanashindwa kuelewa kila mtu hapa duniani yupo kwaajili ya kutafutia tumbo, hata huyo Lissu Sasa anaonekana mpinzani halisi kwakua ana matumaini ya Urais, Ila ikitokea kaukosa, na asione masilahi yoyote ndani ya Chadema kwa Miaka 10 ijayo, si ajabu akaunga juhudi.Ungemalizia kabisa ili manyumbu yafuatayo:
"Hata Lissu mwenyewe ni CCM na jiwe amepanga kumpa kakazi kadogo baada ya uchaguzi."
Yatakuwa yamestuka. Hata ka like kidogo yamekunyima? Kwamba ukweli hayaujui?
Ni njaa tu ndiyo ufahamu wote inayatoa.