Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

Huyo hayuko level na tl jesca yenyewe atamuangusha kwenye ilo jimbo hataamini
 
CCM imefikia kiwango inaogopa kivuli chake chenyewe. Kwa hiyo sasa, badala ya kujishika na MBO wameamua kukumbatia MBWA.

MBO is acronym for Management By Objectives, while MBWA is Management By Walking Around.

Interesting, management by walking around.
 
Lijuakali alitoa siri ya wizi...
unaongelea huo mkuu??

Viva JPM

Ule alioungelea kachero mbobezi mkuu.

Kwamba muda wote huwa mmejikita kukwiba chaguzi tu.

Ndiyo maana safari hii wazi wazi tunawakumbusha, acheni hii biashara. Haitalipa tena.
 
Refer.. Lijuakali.".. chadema tuliiba kura"

Viva Magu 2020 to 2030

Lijualikali yupi? Aliyekuwa anaomba kazi yoyote hata kama ni ya kudanga sembuse ya kudanganya ili mkono uende kinywani?

CHADEMA aibe uchaguzi upi wakati tume yote yenu?

Kwamba reference ni mdangaji? Labda kama wote mna danga moja!
 
Baada ya wana Bukoba kumkataa na kumzomea Mkuu ........ CCM sasa inaelekea wameanza kukodi watu kuleta vurugu .... Ukiangalia vizuri unaona kabisa wametumwa hao!!
 
Baada ya wana Bukoba kumkataa na kumzomea Mkuu ........ CCM sasa inaelekea wameanza kukodi watu kuleta vurugu .... Ukiangalia vizuri unaona kabisa wametumwa hao!!

Akijitathmini haamini. Yote tisa aelewe kiroho safi tu hapendwi.
 
Back
Top Bottom