Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

Huyu kweli anawahutubia hao watu au nakosea. Mbona wanaonekana kama wameduwaa wakijiuliza huyu takataka anasema nini? Walivyotulia utadhani huyu mwizi wa majina anayahutubia mawe.

Tazameni Mh. Tundu Lissu akiongea na Watanzania, unaona kabisa umati unavyoitikia kwa shamra shamra na vigelegele tele.

Huyu aombe Mh. Tundu Lissu asikanyage Itigi.
Hizo zilikuwa kampeni za Magufuli pale Itigi kabla hajarudi Dodoma kuongeza chaji! Huo umati uliletwa na wasanii ndiyo maana unaona baada ya burudani wanakuwa wapo wapo tu!
 
Mugulu ni sawa na Yudah ...... !!

Makelele yote haya huyu bwana hayaoni akatuachia nchi yetu salama?

Haioni namba ya wanaonchukia tokea tabaka zote za watu?

Hivi huko kwao geita, katoro nk hizo nyomi hazioni?
 
Mwigulu huyu si ndio anahusika na utekaji hata na yale mabomu ya Arusha. Bado kweli ana ujasiri wa kuongea.
 
Yeye angeelezea hoja ya UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU, haya mambo sijui ametumwa, hayatusiadii chochote.
 
povu....

Lijuakali said it all jinsi chadema tulivyoiba kura..

Viva Magu 2020 to 2030
Lijualikali yupi? Aliyekuwa anaomba kazi yoyote hata kama ni ya kudanga sembuse ya kudanganya ili mkono uende kinywani?

CHADEMA aibe uchaguzi upi wakati tume yote yenu?

Kwamba reference ni mdangaji? Labda kama wote mna danga moja!
 
povu....

Lijuakali said it all jinsi chadema tulivyoiba kura..

Viva Magu 2020 to 2030

Utopolo mtupu. Mwulize kachero mbobezi atakupa ya Firauni na wizi wao.

Kwa hiyo rasmi jiwe hadi 2030?

Tuambiane kwani hamna haja ya kutwanga maji kwenye kinu.
 
Nape, Makamba na wengineo hawajtumika kabisa kwenye kampeni msimu huu?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.

Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.

Sikia mheshimiwa huyu




Ninawasilisha.
Tunacho fahamu hakuna kibaraka hapa zaidi ya mfumo wetu wa kidemokrasia

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Nape, Makamba na wengineo hawajtumika kabisa kwenye kampeni msimu huu?

Waliwahi kusema nguvu zao zilimuweka jiwe madarakani hali yeye anajua ni mahaba yetu tuliyo naye yeye.

Yeye anaamini hii nchi haijawahi kuwa na rais mahiri kama yeye. Kuwa sisi tunampenda mno kuliko maelezo.

Kuthibitisha hilo anataka atinge ikulu bila wao.

Badala yake uchaguzi ukiwa huru na wa haki, asisahau kuwa kurejea Chatto ni moja ya matokeo yaliyo halali kabisa yasiyokuwa na cha kubishaniwa.
 
Back
Top Bottom