Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

Kwa jinsi navyoshusha kimba kama bomb la atomic,nikiwasha kiberiti si naweza leta mlipuko wa hiroshima Mkuu?Nimeiona sana kwenye muvi za kidhungu ngoja nijaribu kesho,wanajukwaa maombi yenu.
 
Ahahahah uzuri ni nyumba nzima nipo peke yangu
Aaah bhasi hapo full kuniachia, ukiweka vinjiti vya kiberiti unaacha mlango wa choo wazi alafu unakaa sebuleni unazungusha pua tu kuiskilizia harufu inakuja ama imekata kweli🤣🤣🤣
 
Kwani bwana Kiranga na wewe puu yako inatoa harufu ya ajabu?😅😅😅😅😅
Yangu inatoa harufu ya Versace Eros. Niko hapa ku promote experiments za chemistry tu 😅😅😅😅😅.

gift_set-versace_eros.jpg
 
Aaah bhasi hapo full kuniachia, ukiweka vinjiti vya kiberiti unaacha mlango wa choo wazi alafu unakaa sebuleni unazungusha pua tu kuiskilizia harufu inakuja ama imekata kweli🤣🤣🤣
Nikilipua nyumba nakuita tufanyie ukarabati
 
Back
Top Bottom