Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

Kwa jinsi navyoshusha kimba kama bomb la atomic,nikiwasha kiberiti si naweza leta mlipuko wa hiroshima Mkuu?Nimeiona sana kwenye muvi za kidhungu ngoja nijaribu kesho,wanajukwaa maombi yenu.
kinyesi ni ngumu kuwaka, kina unyevu (moisture).
 
hata mimi mwanzoni sikuamini kabisa, yani nilikuwa nakataa,

Nilivyotesti nikaamini jambo usilojua ni sawa na usiku wa giza
Hizo njiti zikitumiwa kwa wingi na mara kwa mara haziwezi kusababisha choo kuziba au kuelea juu kutokana na density yake?
 
Njiti zijaze choo ?
Njiti ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuziba sio kujaza au huelewi mfumo wa choo ukoje? Kama huelewi yale maji unayoyaona hayakauki ni kwasababu ya Bomba lenye umbo la U- shape.
 
Chunga choo cha tundu unaweza kusababisha mlipuko wa gesi ya methane.
 
Back
Top Bottom