Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Pambana tu mkuuHakika utanisaidia sana mkuu.
kinyesi ni ngumu kuwaka, kina unyevu (moisture).Kwa jinsi navyoshusha kimba kama bomb la atomic,nikiwasha kiberiti si naweza leta mlipuko wa hiroshima Mkuu?Nimeiona sana kwenye muvi za kidhungu ngoja nijaribu kesho,wanajukwaa maombi yenu.
Mbaya zaidi Mwenye Nyumba ndo kitega uchumi chake hichoπ€ π€ π€ π€Uyu anataka nilipue nyumba ya watu af haina bima
Ana gubu uyo mkuu ukimwambia tu nakutumia hela leo utapigiwa simu kila baada ya dakika kumiMbaya zaidi Mwenye Nyumba ndo kitega uchumi chake hichoπ€ π€ π€ π€
π―π€Umeoza mkuu
Kama anakudai Figoπ€ π€ π€ π€Ana gubu uyo mkuu ukimwambia tu nakutumia hela leo utapigiwa simu kila baada ya dakika kumi
Hizo njiti zikitumiwa kwa wingi na mara kwa mara haziwezi kusababisha choo kuziba au kuelea juu kutokana na density yake?hata mimi mwanzoni sikuamini kabisa, yani nilikuwa nakataa,
Nilivyotesti nikaamini jambo usilojua ni sawa na usiku wa giza
Acha tu mzeeKama anakudai Figoπ€ π€ π€ π€
Alafu kuna watu ndo tumepewa haya majina poor brain...Njiti zijaze choo ?
Njiti ?
πππ
Sema huwa zinaelea tu ni ngumu hata kujulikana, kama unataka waweza mwaga maji ziende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni hatari hasa choo Cha shimo Huwa Kuna gesi kinaweza lipuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh mbona nimejaribu bado choo kinatoa harufu usitake niripue nyumba hii nyumba yenyewe ya kupanga
Kuziba sio kujaza au huelewi mfumo wa choo ukoje? Kama huelewi yale maji unayoyaona hayakauki ni kwasababu ya Bomba lenye umbo la U- shape.Njiti zijaze choo ?
Njiti ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Harufu hutofautiana ππHivi kuna ambazo hazitowi harufu eehπ€Έπ€Έ
HUU NI UONGO βοΈHarufu hutofautiana ππ
Sio uongo bana. Wewe chunguza hata ya kwako kuna siku harufu inakuwa kali zaidi hadi unqjishangaa mwenyewe. Inategemea nini umekulaHUU NI UONGO βοΈ