Maajabu ya kuchukua salary advance

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Makampuni yanayojielewa huwa wanawakopesha wafanyakazi wao salary advance na wanalipa hadi kwa miezi 6 na si kwa pamoja.
 
Ukiendekeza unakua mtumwa wa bank

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
Wewe pia hujui kuandika, "uwezi "ina maana gani?
 
Mwalimu kipofu mwanafunzi kilema..ndio maisha yenu members msio na haya you can't take it
 
Siku moja nilitaka kukolapsi' waliponiambia huduma hii imesitishwa kwa sasa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahaj
 
huko ni kudanganywa badala NMB wawakopeshe fedha za kuwakwamua kiuchumi badala yake wanawalampisha hiyo salary advance!!! mnadhani wanao pokea mishahara mikubwa wanahangaika na huo upuuzi!!! wengi wao ni walala hoi!!!

NMB waokoeni hawa watumishi wachini, wainueni kiuchumi badala ya kuwagandamiza.
 
.....
 
Kama unashindwa kuiepuka dawa ni kuchukua shilingi elfu kumi tu ili kuondoa uwezekano wa kukopa pesa nyingi
 
Leo tarehe 30/5 mm nimesha lamba aisee hali ngumu jamani miaka mitano ya magu bila nyongeza
 
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
Watumishi wote ni waalimu wa lugha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…