Maajabu ya kuchukua salary advance

Maajabu ya kuchukua salary advance

Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
😆😆😆
 
Makampuni yanayojielewa huwa wanawakopesha wafanyakazi wao salary advance na wanalipa hadi kwa miezi 6 na si kwa pamoja.
 
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Ukiendekeza unakua mtumwa wa bank

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
Wewe pia hujui kuandika, "uwezi "ina maana gani?
 
Mwalimu kipofu mwanafunzi kilema..ndio maisha yenu members msio na haya you can't take it
 
huko ni kudanganywa badala NMB wawakopeshe fedha za kuwakwamua kiuchumi badala yake wanawalampisha hiyo salary advance!!! mnadhani wanao pokea mishahara mikubwa wanahangaika na huo upuuzi!!! wengi wao ni walala hoi!!!

NMB waokoeni hawa watumishi wachini, wainueni kiuchumi badala ya kuwagandamiza.
 
Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe salary advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
.....
 
Kama unashindwa kuiepuka dawa ni kuchukua shilingi elfu kumi tu ili kuondoa uwezekano wa kukopa pesa nyingi
 
Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe salary advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Leo tarehe 30/5 mm nimesha lamba aisee hali ngumu jamani miaka mitano ya magu bila nyongeza
 
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
Watumishi wote ni waalimu wa lugha ?
 
Back
Top Bottom