Maajabu ya kuwa Bachela

Hichi ndio huwa nachoka wapo Barabara manzese wanauza vyakula haieleweki wanatoa wapi maji yakuoshea itakuja kuzuka magonjwa ya ajabu bwana afya wajaribu kupitia hao mama ntilie

Hawa mama lishe wabahili sana ,wanaona gharama kununua dumu la maji la mia 5 ,bora wasuzie hayo hayo kuanzia rukwili mpaka ruchwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…