Maajabu ya kuwa Bachela

Maajabu ya kuwa Bachela

Kununua chakula na kula chakula kinachoandaliwa kwenye mazingira haya ni muujiza mmojawapo wa kuishi kibachela.
.
Tupe muujiza wako
View attachment 3078746maajabu
na ubachela wangu huu wote sijawahi kununua wala kula chakula toka mazingira kama haya. haya niliyafanya wakati niko chuo enzi zile za kipindi kile
 
Kwa Mama ntilie nakula Supu ambayo naiona ipo jikoni ya moto na chapati naona zinatoka jikoni ila miugali sijui miwali sili ,nikibwana sana na njaa mchana na sipo home nakula Zege na kuku wa kubanikwa.
Huwa unanunua supu ya bei gan??
 
Back
Top Bottom