Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
- Thread starter
- #41
Anaahirisha tu ndoa kila mwakabado ni mwanachama wa kataa ndoa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaahirisha tu ndoa kila mwakabado ni mwanachama wa kataa ndoa mkuu
Huwa unanunua supu ya bei gan??
Na hatuachi kulaMaji ya kuoshea vyombo hawayamwagi wanasuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka usiku hayo hayo.
Usimbe sio mzuri, tafuta mume uoleweKumbe mnaoa ili mpate mtu wa kuwapikia, kuwafulia na kuwafanyia kazi nyingine.
Ndoa ni utumwa. Kataa ndoa!
Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero.Supu Buku Jero na Buku mbili..chapati Jero.
Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero.
hahahahah dah ila Minjingu c ndo kuna pisi za kimbulu? Fanya uoe.Sasa minjingu kwenye mikaa huku utapata Supu kama ya Serena?