Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Kulingana na vyakula tunavyokula, unajikuta mwilini una sumu nyingi kuliko virutubisho, sasa cha kufanya nunua majani ya kunde, yaoshe then yachemshe kama kwa dakika 15, iipue kisha kunywa supu yake tu hiyo mboga utajua mwenyewe cha kuifanyia, nakuhakikishia hayatapita masaa matatu utatafuta choo kilipo.
NB: Ni vema unywe usiku kuliko asubuhi, vinginevyo kwa hii miundombinu yetu ya kukaa barabarani masaa mawili utaadhirika!
NB: Ni vema unywe usiku kuliko asubuhi, vinginevyo kwa hii miundombinu yetu ya kukaa barabarani masaa mawili utaadhirika!