Maajabu ya majani ya kunde

Maajabu ya majani ya kunde

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Kulingana na vyakula tunavyokula, unajikuta mwilini una sumu nyingi kuliko virutubisho, sasa cha kufanya nunua majani ya kunde, yaoshe then yachemshe kama kwa dakika 15, iipue kisha kunywa supu yake tu hiyo mboga utajua mwenyewe cha kuifanyia, nakuhakikishia hayatapita masaa matatu utatafuta choo kilipo.

NB: Ni vema unywe usiku kuliko asubuhi, vinginevyo kwa hii miundombinu yetu ya kukaa barabarani masaa mawili utaadhirika!
 
peterchoka, ahsante sana mkuu kwa hizo health tips! Kweli miili yetu ina sumu nyingi sana kutokana na life styles zetu za maisha ya sasa. Sometimes hizi sumu hazikwepeki kwenye vyakula vyetu vya kila siku
 
haina shida pia haina gharama kazi kwako tu kuzingatia
 
Back
Top Bottom