Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
ni kweli kabisa.Mungu mkubwa sana..huumba apendavyo
haina makosa.Kazi ya Mungu..
mkuu ni kweli kabisa Mungu yupo.Hao nao pia .ni mfano wa mungu.....
ni kweli kabisa ametakasika Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji.Namuogopa huyu Mungu jamani, acha Mungu aitwe Mungu
Tuacheni Mungu aitwe Mungu.Namshukuru Mungu kwa kuniumba hivi nilivyo.Wengine wapo ikonda. Kama sikosei wako form two sasa hivi iringa girls. Wao wanatembelea wheel chair. Mmoja anaiwa consolata na mwingine maria. Wana miguu mitatu na wanashare tumbo. Mmoja akila mwingine anashiba. Ni Mungu tu ndo anaye jua siri zote. Na cha ajabu mama yao alijifungua kwa njia ya kawaida wakati wamama wenye mimba ya mtoto mmoja wanashindwa kujifungua.
Tena sana tu.Jamani.......ukiwa salama mshukuru m/mungu
haina makosa.
Nalog off
Wengine wapo ikonda. Kama sikosei wako form two sasa hivi iringa girls. Wao wanatembelea wheel chair. Mmoja anaiwa consolata na mwingine maria. Wana miguu mitatu na wanashare tumbo. Mmoja akila mwingine anashiba. Ni Mungu tu ndo anaye jua siri zote. Na cha ajabu mama yao alijifungua kwa njia ya kawaida wakati wamama wenye mimba ya mtoto mmoja wanashindwa kujifungua.
mkuu ni kweli kabisa Mungu yupo.
Nalog off