Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Alhamdulillah Alaa kuli hal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alhamdulillah Alaa kuli hal
Uko wapi nikufate, niambie nipajue,
Angalau nikuone roho yangu itulie
Najiuliza kila mara, wapi takupata
Ni miaka mingi sanaa hatujaonaa×2
Special dedication ...!
nakubaliana nawe.Maandiko yanasema shukuruni kwa kila jambo.
swadakta sheikh wangu.Alhamdulillah Alaa kuli hal
ni kweli kabisa ndugu yangu.Yote kheri mbele za mungu
Thanks my hubby
Jibu swali...uko wap ajeee
Nimewaonea huruma
Mashairi yametulia mkuu.Uko wapi nikufate, niambie nipajue,
Angalau nikuone roho yangu itulie
Najiuliza kila mara, wapi takupata
Ni miaka mingi sanaa hatujaonaa×2
Special dedication ...!
huo uke wao uko maeneo gani?
mwacheni Mungu aitwe Mungu haya ndo maajabu ya Mungu
hakuna awezaye kuumba
hata mimi pia nimewaonea huruma ila ndio kazi ya Mungu.
Nalog off