Maajabu ya Mapacha hawa.

Maajabu ya Mapacha hawa.

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Wanaitwa Ayara na Jayara Ratun wana umri wa miaka 41 wamezaliwa Barsirat,Bengala nchini India wana mume mmoja kwa muda wa miaka 22 sasa kwa kuwa wana UKE mmoja tu,miguu mitatu,mikono ndio inawasaidia kutembea,madaktari wameshawahi kusema ya kuwa wanaweza kuwafanyia upasuaji ili kuwatenganisha lakini wenyewe wamegoma na kusema wanapendelea kuendelea kuwa hivi.Walishawahi kupata mimba na kujifungua ila mtoto ni bahati mbaya kwa kuwa alipata wakati mgumu wakati wa kuzaliwa ila bado wana ndoto ya kupata mtoto mwengine.
mulheres+aranha.jpg

mulheres+aranha+%25282%2529.jpg

Irmãs aranha.
Nalog off
 
Wengine wapo ikonda. Kama sikosei wako form two sasa hivi iringa girls. Wao wanatembelea wheel chair. Mmoja anaiwa consolata na mwingine maria. Wana miguu mitatu na wanashare tumbo. Mmoja akila mwingine anashiba. Ni Mungu tu ndo anaye jua siri zote. Na cha ajabu mama yao alijifungua kwa njia ya kawaida wakati wamama wenye mimba ya mtoto mmoja wanashindwa kujifungua.
 
Tuacheni Mungu aitwe Mungu.Namshukuru Mungu kwa kuniumba hivi nilivyo.
Nalog off
 
Hujafa hujaumbika...Tumshukuru Mungu kwa hv tulivyo, wale wanaopenda kufanya plastic surgery, na kujiongezea makalio nk watumia diproson, carol lite nk waje hapa
 
Wengine wapo ikonda. Kama sikosei wako form two sasa hivi iringa girls. Wao wanatembelea wheel chair. Mmoja anaiwa consolata na mwingine maria. Wana miguu mitatu na wanashare tumbo. Mmoja akila mwingine anashiba. Ni Mungu tu ndo anaye jua siri zote. Na cha ajabu mama yao alijifungua kwa njia ya kawaida wakati wamama wenye mimba ya mtoto mmoja wanashindwa kujifungua.

Hizo zote ni kudra za mungu..
 
Back
Top Bottom