Maajabu ya Mapacha hawa.

Maajabu ya Mapacha hawa.

Uko wapi nikufate, niambie nipajue,
Angalau nikuone roho yangu itulie
Najiuliza kila mara, wapi takupata
Ni miaka mingi sanaa hatujaonaa×2
Special dedication ...!
Mashairi yametulia mkuu.
Nalog off
 
Wanaume acha tuitwe wanaume. Kidume kilijitosa kupachika wote mimba bila huruma kuwa watabebaje hiyo mimba katika hali waliyonayo. Ukioa hapo sijui unalipa mahari ya wanawake wawili au mmoja.
 
Back
Top Bottom