Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Kutusemea wamekwisha tusemea sana tena sana. Tatizo lipo kwetu sisi wananchi kutokuwapa sapoti yoyote. Kwa kifupi sisi wananchi HATUJIELEWI
 
Mtakoma kwa sababu ya kupenda upumbavu na mwisho wa yote mkachagua upumbavu uwatawale,poleni sana.
 
Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
WORST LEADER OF ALL TIME WHO CAUSED TOO MANY TROUBLES UNTIL NOW.
 
Hivyo vyama vinapewa ruzuku kodi zetu kazi yao lutupigia kelele ya utawala bora
 
Kazi ya kuijenga Nchi ni yetu sote ,kazi ya upinzani ni uangalizi (Watchdog) katika Nchi ,kuona kama utawala bora upo,na kutoa ushauri, hawatakiwi kusubiri kuaribike ndio watoe ushauri
Walishafanya sana mpaka watu wamefilisiwa wengine wamekufa na mikesi yakubambikiwa walipewa hala majitu yenyewe yanayotetewa hayana habari
 
..wanaotakiwa kutetea wananchi ni serikali iliyoko madarakani, na chama tawala.

..dhana kwamba serikali inatakiwa ikandamize raia wake, halafu vyama mbadala vipige kelele, ni dhana potofu.

..lawama za hali ngumu ya uchumi, na mfumuko wa bei za bidhaa, zinapaswa kwenda kwa chama tawala / Ccm na serikali yake.
 
Wazalendo walishatangulia mbele za haki.
 
Umenena!
 
Ww mbna upo kmya???
 
Tabia za Wachumia tumbo hizo.
 

Nakumbuka nilishawahi kusema humu kuwa hakuna mwanasiasa anayempenda mwananchi. Wanasiasa wapo kwa ajili ya utawala tu. Wao wanataka utawala. Mwanasiasa anakuwa rafiki wa mwananchi pale anapotaka kitu fulani au anapoomba kura tu. Baada ya hapo hana muda na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…