Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Mafuta yatashuka tu na Hali ya bei za vitu itajakaa SAWA. Kama zipo sababu za kumlaumu mtu ni bora kuziweka wazi. Ni kipindi cha COVID ya bei za vitu wanaoweza kupigana nacho watavaa barakoa au kujif ungia...
 
Aiseeh watanzania tuna kichaa Sana Yani ugumu WA maisha unasubiri mwanasiasa ndio aseme Una ugumu WA maisha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huwa tunawachagua ili watuongoze na pia watusemee !! Na uzuri wenyewe ni kwamba katika kazi zao huwa wanalipwa marupurupu mengi tu !! Lakini sisi nobody pays us a penny !!
 
Huu upumbavu wa kuamini wenye jukumu la kusema hili hapana ni la wanasiasa pekee, au kundi fulani tu ni utumwa na upungufu mkubwa wa kiakili.
Mungu wa Mbinguni katuumba na utashi, utambuzi wa jema na baya, leo inakuwaje tusubiri mtu mwingine ndiye atusemee na kutuamulia kuwa hili ni jema na hili ni baya!!??
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Swali rahisi la kujiuliza, jee wewe mwenyewe umefanya nini kujitetea mwenyewe? Hawa unaowaita wanasiasa uchwara ndio hao hao walibambikiwa kesi kila kukicha na kulala rumande wakati wengine wanapeta uraiani.
 
Ndio maana hata mimi natafuta kadi ya chama tawala nilambe asali.

Hakuna upinzani hapa bongo, yaani kimya kabisa kama vile ni nchi ya chama kimoja.
Kuwa mpinzani wewe sasa ili ulete upinzani uutakao!
 
Wanasiasa hupigania maslahi binafsi siku zote.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kueleweka! Kila mmoja na lwake!
Kumtetea mtz? not anymore! Ni lini wananchi walidai maisha Ben saa nane?
Maisha ya watu waliookotwa ufukweni kwenye viroba
Hakuna kuteteana tena! Kila mmoja aamke!
 
Wewe makalio tulia sindano ikuingie! Alipoingia JPM mkataka mharibu amani ya nchi ulitaka wawachekee? Huyo Ben ndo nani kila mda unamtolea Mfano? Huoni wale vijana watano wa kariakoo waliopotea, yule kijana wa madini aliyeuawa kule kusini na watu kibao kuuana huoni! Unatuletea ngonjera za Ben mara Azori!
 
Wee mbwa unahusika na ule uhuni eh? Toa msambwanda nje tuushughulikie mbwa porini msundu meru"?
 
Nakwambia wewe na mapimbi wenzake wa CHADEMA! hamna lolote ni majambazi kama majambazi wengine! Tena huyo Mikengeza wenu ni jizi na mkwepa kodi!

Kalifufue kwanza lile jambazi lililofukiwa Chattle ndo uje hapa we nyang'au wahead. Jambazi lililojipandikiza urais likawa linaibia wananchi wake! We ni jamii ya lenyewe eti eh! Basi tangulia kwa babu zako Burundi unawindwa na wastaarabu.
 
Hao uliowataja ni kupe wa taifa, washalamba asali huwezi sikia wakikemea hadharani uongozi wa Mama Samia
 
Kalifufue kwanza lile jambazi lililofukiwa Chattle ndo uje hapa we nyang'au wahead. Jambazi lililojipandikiza urais likawa linaibia wananchi wake! We ni jamii ya lenyewe eti eh! Basi tangulia kwa babu zako Burundi unawindwa na wastaarabu.
Wewe mnywa mbege endelea kujifariji! Wachaga wengi mlimchukukia JPM kwa ukabila wenu wa kipumbavu! Majungu na wizi!
 
Nchi imeshafunguliwa hii, watu wanalamba asali, ma vacation ya ulaya kama yote saa ngapi watakufikilia wewe wa nangulukulu?
Vita ya uchumi ni mbaya sana, usikute wale wanaharakati wote waliokuwa wametaradadi sekta zote hasa socio media, walikuwa wanalipwa, maana wametoweka ghafla, yani alvyoondoka tu uncle Magu, na matatizo yote ya watanzania yakaondoka, wala Mange hajawahi kupost tena jeneza la wahanga wa covid😃.
 
Waache kufanya matusi na wapenz wao, waache kuinjoi na familia zao, wahangaike kutetea WaTz wapuuzi ambao hata uwapiganie uhai ukutoke hawajitambui... 2005-2020 Chadema na wanaharakati wamewapigania sana WaTz lakin mwsho wa siku wameishia kutukanwa na WaTz haohao tena ambao hata hela ya kunywa chai na andaz moja hawana... Acheni akina Mbowe wapumzike sasa, ni muda wa kupelekewa moto hadi mtage mayai ya mbuni... Maza wakamueeeeee
 
Huyo Mbowe hajawahi kutetea wananchi! Labda tumbo lake hapo sawa! Ila hayo makelele yote wakati wa JPM yalisukumwa na chuki za za kibaguzi na ukabila basi! Piaalizoea kutolipa kodi alipoambiwa alipe kodi tu kelele!
 
Wewe mnywa mbege endelea kujifariji! Wachaga wengi mlimchukukia JPM kwa ukabila wenu wa kipumbavu! Majungu na wizi!
Sema basi ukweli huyo JPM alikuwa jambazi au siyo?
Alikuwa muuaji au siyo?
Alikuwa malaya au siyo?
Mungu aliingilia kati March 17 2021.
Ukweli utakuweka huru!
 
kipindi kile si mlisema
wanapiga kelele acha wakae kimya na mm natamani wakae
kimya ili tuache unafiki
Sent from my Infinix X683 using
JamiiForums
mobile app
Hao wanasiasa ndio wanafki na mirija yao ikitokea kuzibwa tusione kuja kupiga kelele zao kujifanya wanatetea wananchi wao wapiganie mirija yao tu na sie tutaangaika na ya kwetu.

Binafsi nataka wakae kimya hivyo hivyo hawajawahi kuwa na msaada zaidi ya masilahi yao ndio huwasukuma kupiga kelele.
 
Huyo Mbowe hajawahi kutetea wananchi! Labda tumbo lake hapo sawa! Ila hayo makelele yote wakati wa JPM yalisukumwa na chuki za za kibaguzi na ukabila basi! Piaalizoea kutolipa kodi alipoambiwa alipe kodi tu kelele!
una hela ya kumtunza mke wazaz wako na watoto, una hela ya kula au upo bize kuandika vitu off point..? Aliyekudanganya hizo porojo mwambie asikufanye huna akili...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom