Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa tunawachagua ili watuongoze na pia watusemee !! Na uzuri wenyewe ni kwamba katika kazi zao huwa wanalipwa marupurupu mengi tu !! Lakini sisi nobody pays us a penny !!Aiseeh watanzania tuna kichaa Sana Yani ugumu WA maisha unasubiri mwanasiasa ndio aseme Una ugumu WA maisha
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Swali rahisi la kujiuliza, jee wewe mwenyewe umefanya nini kujitetea mwenyewe? Hawa unaowaita wanasiasa uchwara ndio hao hao walibambikiwa kesi kila kukicha na kulala rumande wakati wengine wanapeta uraiani.Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.
Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!
Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!
Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.
Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!
Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!
Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!
Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Kuwa mpinzani wewe sasa ili ulete upinzani uutakao!Ndio maana hata mimi natafuta kadi ya chama tawala nilambe asali.
Hakuna upinzani hapa bongo, yaani kimya kabisa kama vile ni nchi ya chama kimoja.
Wewe huna auchungu? Kwa nini usiitishe press ulalamike bei? Mnawazaga kwa kutumia utumbo mpana?Hao hawakuwa na uchungu kwaajili ya Taifa bali ugomvi binafsi na JPM!
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kueleweka! Kila mmoja na lwake!Wanasiasa hupigania maslahi binafsi siku zote.
Wewe makalio tulia sindano ikuingie! Alipoingia JPM mkataka mharibu amani ya nchi ulitaka wawachekee? Huyo Ben ndo nani kila mda unamtolea Mfano? Huoni wale vijana watano wa kariakoo waliopotea, yule kijana wa madini aliyeuawa kule kusini na watu kibao kuuana huoni! Unatuletea ngonjera za Ben mara Azori!Hivyo ndivyo inavyotakiwa kueleweka! Kila mmoja na lwake!
Kumtetea mtz? not anymore! Ni lini wananchi walidai maisha Ben saa nane?
Maisha ya watu waliookotwa ufukweni kwenye viroba
Hakuna kuteteana tena! Kila mmoja aamke!
Wee mbwa unahusika na ule uhuni eh? Toa msambwanda nje tuushughulikie mbwa porini msundu meru"?Wewe makalio tulia sindano ikuingie! Alipoingia JPM mkataka mharibu amani ya nchi ulitaka wawachekee? Huyo Ben ndo nani kila mda unamtolea Mfano? Huoni wale vijana watano wa kariakoo waliopotea, yule kijana wa madini aliyeuawa kule kusini na watu kibao kuuana huoni! Unatuletea ngonjera za Ben mara Azori!
Wee mbwa unahusika na ule uhuni eh? Toa msambwanda nje tuushughulikie mbwa porini msundu meru"?
Kalifufue kwanza lile jambazi lililofukiwa Chattle ndo uje hapa we nyang'au wahead. Jambazi lililojipandikiza urais likawa linaibia wananchi wake! We ni jamii ya lenyewe eti eh! Basi tangulia kwa babu zako Burundi unawindwa na wastaarabu.Nakwambia wewe na mapimbi wenzake wa CHADEMA! hamna lolote ni majambazi kama majambazi wengine! Tena huyo Mikengeza wenu ni jizi na mkwepa kodi!
Wewe mnywa mbege endelea kujifariji! Wachaga wengi mlimchukukia JPM kwa ukabila wenu wa kipumbavu! Majungu na wizi!Kalifufue kwanza lile jambazi lililofukiwa Chattle ndo uje hapa we nyang'au wahead. Jambazi lililojipandikiza urais likawa linaibia wananchi wake! We ni jamii ya lenyewe eti eh! Basi tangulia kwa babu zako Burundi unawindwa na wastaarabu.
Huyo Mbowe hajawahi kutetea wananchi! Labda tumbo lake hapo sawa! Ila hayo makelele yote wakati wa JPM yalisukumwa na chuki za za kibaguzi na ukabila basi! Piaalizoea kutolipa kodi alipoambiwa alipe kodi tu kelele!Waache kufanya matusi na wapenz wao, waache kuinjoi na familia zao, wahangaike kutetea WaTz wapuuzi ambao hata uwapiganie uhai ukutoke hawajitambui... 2005-2020 Chadema na wanaharakati wamewapigania sana WaTz lakin mwsho wa siku wameishia kutukanwa na WaTz haohao tena ambao hata hela ya kunywa chai na andaz moja hawana... Acheni akina Mbowe wapumzike sasa, ni muda wa kupelekewa moto hadi mtage mayai ya mbuni... Maza wakamueeeeee
Sema basi ukweli huyo JPM alikuwa jambazi au siyo?Wewe mnywa mbege endelea kujifariji! Wachaga wengi mlimchukukia JPM kwa ukabila wenu wa kipumbavu! Majungu na wizi!
Hao wanasiasa ndio wanafki na mirija yao ikitokea kuzibwa tusione kuja kupiga kelele zao kujifanya wanatetea wananchi wao wapiganie mirija yao tu na sie tutaangaika na ya kwetu.kipindi kile si mlisema
wanapiga kelele acha wakae kimya na mm natamani wakae
kimya ili tuache unafiki
Sent from my Infinix X683 using
JamiiForums
mobile app
una hela ya kumtunza mke wazaz wako na watoto, una hela ya kula au upo bize kuandika vitu off point..? Aliyekudanganya hizo porojo mwambie asikufanye huna akili...Huyo Mbowe hajawahi kutetea wananchi! Labda tumbo lake hapo sawa! Ila hayo makelele yote wakati wa JPM yalisukumwa na chuki za za kibaguzi na ukabila basi! Piaalizoea kutolipa kodi alipoambiwa alipe kodi tu kelele!