Maajabu ya mdudu Mende

Maajabu ya mdudu Mende

1. Kuishi muda mrefu bila kula

Mende ni mdudu ambaye anaweza kukaa kwa muda zaidi ya mwezi mmoja bila kula chochote na bado akiwa hai. Ni wadudu ambao wana uwezo wa kuishi mazingira magumu sana.

Eublaberus posticus ni aina ya mende ambao hawa wanaweza kukaa mwaka mmoja kwa kunywa maji pekee.

2. Kuishi bila kunywa maji

Wanaweza kuishi kwa muda wa wiki mbili bila kunywa maji

3. Moyo wa mende una chemba 13, wakati moyo wa binadamu una chembe 4 tu.

4. Hawahitaji wanaume ili kuzaliana

Unaambiwa baadhi ya mende wa kike hawahitaji madume ili kufanikisha suala la kuzalisha mayai. Hupandana wao kwa wao na kutaga mayai na maisha huendelea hivyo.

5. Mende ana uwezo wa kukaa kuwa zaidi ya dakika 40 bila kupumua

6. Ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya wiki mbili akiwa hai huku akiwa amekatwa kichwa

7. Hana mapafu

8. Ana uwezo mara 15 zaidi ya binadamu katika kuzuia madhara ya miale ya nyuklia

9. Ana uwezo wa kuruka kwa maili 3 kwa saa moja.

10. Ana uwezo wa kukaa maeneo yenye sumu na uchafu bila kufa wala kudhurika.

11. Kuna aina takriban 4,600 za mende Duniani. Lakini aina 30 tu ndizo huonekana sana karibu na binadamu wakati huo huo aina 4 ndizo maarufu sana.
 
Kuna siku niliiacha redbull usiku sikuimaliza,alfajiri nikaanza nayo baada ya usingizi kukata.Nilibugia bonge la mende akiwa mzima.

Huo mtiti utafikiri nilimezeshwa guruneti.😁😀
Daaaah!!!! I guess ulimtema kisha akapeperuka teh hadi kinyaa....pole
 
1. Kuishi muda mrefu bila kula

Mende ni mdudu ambaye anaweza kukaa kwa muda zaidi ya mwezi mmoja bila kula chochote na bado akiwa hai. Ni wadudu ambao wana uwezo wa kuishi mazingira magumu sana.

Eublaberus posticus ni aina ya mende ambao hawa wanaweza kukaa mwaka mmoja kwa kunywa maji pekee.

2. Kuishi bila kunywa maji

Wanaweza kuishi kwa muda wa wiki mbili bila kunywa maji

3. Moyo wa mende una chemba 13, wakati moyo wa binadamu una chembe 4 tu.

4. Hawahitaji wanaume ili kuzaliana

Unaambiwa baadhi ya mende wa kike hawahitaji madume ili kufanikisha suala la kuzalisha mayai. Hupandana wao kwa wao na kutaga mayai na maisha huendelea hivyo.

5. Mende ana uwezo wa kukaa kuwa zaidi ya dakika 40 bila kupumua

6. Ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya wiki mbili akiwa hai huku akiwa amekatwa kichwa

7. Hana mapafu

8. Ana uwezo mara 15 zaidi ya binadamu katika kuzuia madhara ya miale ya nyuklia

9. Ana uwezo wa kuruka kwa maili 3 kwa saa moja.

10. Ana uwezo wa kukaa maeneo yenye sumu na uchafu bila kufa wala kudhurika.

11. Kuna aina takriban 4,600 za mende Duniani. Lakini aina 30 tu ndizo huonekana sana karibu na binadamu wakati huo huo aina 4 ndizo maarufu sana.
Hapo number 4 wana hamasisha lesbianism
 
Kifo cha mende huwa ndo style ya kwanza kwa wapenda utelezi.
 
𝙽𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚊𝚊𝚗𝚊 𝚞𝚔𝚒𝚠𝚊 𝚞𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚍𝚒𝚜𝚜𝚎𝚌𝚝 𝚔𝚊𝚗𝚊𝚜𝚑𝚝𝚞𝚔𝚊 𝚜𝚑𝚝𝚞𝚔𝚊!!
 
mende akiingia kwako anakujua mpaka jina lako mende anajua style zote za kuchapana
 
Back
Top Bottom