Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujumla ni takataka zinazochafua mazingira.Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga?
Unajua nyani huwa anaziba macho akiamini kuwa yeye haoni basi na wengine pia wanaomuangalia nao hawaoni.
Kama umeelewa ulichoandika basi AMINI wote pia wanaosoma wameamini nao.
Hivi kweli jamani mashine za kusagia unaweza kusambazia bidhaa mitaani?.
Ni madoido au marembo?SIVIPENDI BALAAA VILE VIGALI SIJUI TREKTA VYA TAIRI TATU, tuku tuku tuku tuku tuku nyingi sana barabarani!
ni kero vile vigali!
Ni madoido au marembo?
mbona hukuandika Balafuyamoyo?
SIVIPENDI BALAAA VILE VIGALI SIJUI TREKTA VYA TAIRI TATU, tuku tuku tuku tuku tuku nyingi sana barabarani!
ni kero vile vigali!
HahahahahaUsafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga?
Huyu ndio billionea kijana lakini ana wadhifa wa mbunge tena wa kuchaguliwa, karibia vipindi viwili alivyokaa bungeni inasemekana hakuwahi kuchangia wala kuuliza swali! Kiufupi 'najipinga' mwenyewe, huyu sio mbunge bali 'mfadhili' wa jimbo la Singida Mjini.
Pia kuweka sawa kumbukumbu aliingia kwenye mgogolo wa kujitwalia kiwanja cha serikali mjini Dar es Salaam na kumsababishia lawama waziri wa fedha Mustafa Mkukulo!