Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

tzkwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,610
Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa.

Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.

Your browser is not able to display this video.
 
Simu yangu haifungui video attachment kama hizi, mwanzo ilikuwa inafungua bila shida. Mwenye ujuzi wa kusolve hii shida naombeni msaada.
Ok. Ngoja wataalam waje watakusaidia.
 
Baada ya ndege kuwashwa engine hiyo ingelipuka na kuripua ndege nzima. Sababu ni kwamba zile pangaboy za hiyo engine zisingeweza kuukatakata mwili mzima bila kustuck.
 
Yani pamoja na Corona hii bado watu wanakutamani Ulaya...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…