Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

Baada ya ndege kuwashwa engine hiyo ingelipuka na kuripua ndege nzima. Sababu ni kwamba zile pangaboy za hiyo engine zisingeweza kuukatakata mwili mzima bila kustuck.
Hii ni jet engine sio propeller engine. Ni kweli angeleta madhala makubwa sana kwa engine achilia mbali yeye maana tunajua nini ingekuwa hatima yake. Wenzake hujificha kwenye landing gear.

Hata hivyo huwa hawafanikiwi kufika huko Ulaya ama hufinyangwa na landing gear au wenye miili midogo husogea mbali lakini hufa kwa baridi kali.

London huokota sana maiti sehemu za barking East London na Slough karibu na Heathrow.
 
Kwasababu hio sio engine yenye turbine blades kama ya Dreamliner ambayo ingemkatakata Bali ni jet engine inayovuta hewa na Kuchoma ili itoke gesi ya moto yenye pressure upande wa nyuma,kama engine ingewashwa angekaangwa kama nyama ya kuku akayeyuka na engine ingeharibika
 
Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa.

Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.

View attachment 1494337
Sio siri ujinga ni mzigo
Maandiko yanasema mshike sana elimu ndiye uzima wako!

haijitaji physics kujua kuwa angekufa ndani ya dk 1 kama ndege ingewashwa
 
Akili za mtu mweusi anazijua mwenyewe, umekosa nini Afrika nchi zenye maziwa na kila aina ya vivutio na fursa nyingi za biashara
 
Back
Top Bottom