Nyani Mzungu
Member
- May 29, 2020
- 45
- 58
Kwani aliingia kwenye Panga au Fyekeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuelewa kifaransa!Itakuwa Guinea au Cameroon. Wanaongea kifaransa. Halafu shati ya police ina bendera kama ya Cameroon ama Guinea. Ila wanamuuliza dogo kuwa alitaka kwenda France namna hiyo ?
Hii akili ya kikenya ,Wakenya peke yao ndio wanaoweza kufanya kitu kama hikiHapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa.
Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
View attachment 1494337
HahahahaHa ha ha dogo hajui chochote. Yeye akiona ndege anajua inaenda kwa Trump kumbe nyingine zinaishia Chato.
Hii shida nimelalamika sana humu mpaka nimechoka sikuhizi nikiona attachment napita kama siioni labda nipate nguvu baada ya wewe kukumbusha hivi huenda tutapata msaadaSimu yangu haifungui video attachment kama hizi, mwanzo ilikuwa inafungua bila shida. Mwenye ujuzi wa kusolve hii shida naombeni msaada.
Mwanzo ilikuwa inaniletea options open with Jamiiforums app or videoder nikachaguaga videoder ikawa zinafunguka sasa siku nyingine ikauliza tena nikachagua open with Jamiiforums app ndo haikufunguka tena kitu yoyote iliyoletwa kama attachment bali inaishia hapa[emoji116]Simu yangu haifungui video attachment kama hizi, mwanzo ilikuwa inafungua bila shida. Mwenye ujuzi wa kusolve hii shida naombeni msaada.
Simu yangu haifungui video attachment kama hizi, mwanzo ilikuwa inafungua bila shida. Mwenye ujuzi wa kusolve hii shida naombeni msaada.
Hapana mkuu, ni hii JF updated app ndio yenye shida. App ya zamani haikuwa na tatizo hili.Kanunue mpya
uko vzr mchumba [emoji122][emoji122]Itakuwa Guinea au Cameroon. Wanaongea kifaransa. Halafu shati ya police ina bendera kama ya Cameroon ama Guinea. Ila wanamuuliza dogo kuwa alitaka kwenda France namna hiyo ?
République Démocratique du Congo (RCD) / Democratic Republic of Congo (DRC)Wapi huko?