Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo, akae NAE, mana ashatoa mahali kwao na anafahamika, basi demu kweli kaja wakaanza maisha jamaa yuko serikalini.

MAISHA yameenda Sasa yule shem DEMU WA mwanangu alikua anaumwa jaPO SI ugonjwa serious, JAMA akadai ampeleke Kuna DOKTA TOKA ujerumani Yani kasomea HUKO HUYO anaweza mtibu,Tukabebana hao safari ya mbali, ofisini KWA daktari alie somea ujerumani.

ofisi yake ilikua NYUMBANI kwake, ukimcheki Daktari kweli basi, yule DEMU akafanyiwa vipimo, KWA kutumia computer kukaguliwa kila kiungo, Sasa baada ya hapo tatizo daktari akaliona tukapewa dawa tukasepa.

Sababu daktari anamawasiliano na JAMAA wakaanza piga stori MBILI TATU, daktari akamtonya MSHIKAJI kuwa HUYO DEMU ana matatizo ya uzazi anamaana hawezi zaa kazi kwake, tatizo la HUYO DEMU limemfanya awe mgumba.

JAMAA stress KIBAO, wakawa hawaelewani MALALAMIKO kila SIKU nahisi JAMAA alimkatia tamaa yule DEMU waliejuana miaka NENDA RUDI TANGU JAMAA hajajipata, mwishowe wakabwagana DEMU karudi KWAO MAISHA yakaendelea MI SIKua mshauri KWA kweli NILIKUA na mishe ZANGU.

Miaka NENDA RUDI, NIKAPATA TAARIFA yule DEMU kabeba UJAUZITO, na kajifungua Binti copy yake, JUZI nimekutana NAE akiwa na Binti yake Yani mwanae, tukapiga SANA stori MANA tume kutana mkoa tofauti na ULE, tulio kuwepo. Kila nikimfikiria yule daktari alie somea ujerumani najisemea TU KUNA MUNGU ALAFU Kuna daktari.
 
Wewe unasema vipimo kwa njia ya computer. Hata wachaga Kariakoo wana repair simu kwa njia ya computer. Ukitaka kumtapeli mbongo we mtajie computer tu
 
ofisi yake ilikua NYUMBANI kwake, ukimcheki Daktari kweli basi, yule DEMU akafanyiwa vipimo, KWA kutumia computer kukaguliwa kila kiungo, Sasa baada ya hapo tatizo daktari akaliona tukapewa dawa tukasepa.
Hebu mtu asome hapo aelewe shida ya ugumba haionyeshwi kupitia computer huyo aliwapiga pesa
 
Disease diagnosis by a medical doctor is not considered an exact science in the same way mathematics or physics are. Instead, it is best described as an applied science and an art—a complex, iterative process that uses scientific data to interpret unique human, genetic, and environmental variables.
While medicine relies on, and is built upon, rigorous scientific principles, the application of this knowledge to a specific individual is rarely 100% certain.
 
Wewe unasema vipimo kwa njia ya computer. Hata wachaga Kariakoo wana repair simu kwa njia ya computer. Ukitaka kumtapeli mbongo we mtajie computer tu
Kaka UKO SAHIHI, tunatumia lugha nyepesi ili WATU waelewe haraka SIO tuanze kufafanuliana, KUHUSU daktari ni kweli yuko POA MANA Sha tibu WATU wengi SANA nikitaja mkoa huenda hata we unamjua nimaarufu sana
 
Hebu mtu asome hapo aelewe shida ya ugumba haionyeshwi kupitia computer huyo aliwapiga pesa
Mkuu kuwa mwelewa ye ALISEMA tatizo alilo nalo limepelekea ugumba tatizo lililoonekana ni KINGINE ila ye daktari akadai Hilo tatizo hupelekea ugumba
 
"Vipimo kwa Computer" hili taifa lina vijana wa hovyo sana,halafu ndio utasikia wakombozi wa nchi hao. Shame on you.
 
"Vipimo kwa Computer" hili taifa lina vijana wa hovyo sana,halafu ndio utasikia wakombozi wa nchi hao. Shame on you.
Mkuu kuwa na akili ningetumia neno CBT wangeniwlewa wangap? Eti shame on you, SHIDA SISI wengi wabinafsi, NMETUMIA kiswahili chepes nielewke we unaleta ujuaji, father fucker bitch
 
Back
Top Bottom