Maajabu ya mwanamke

Maajabu ya mwanamke

Kama ulikua huyajui maajabu ya MWANAMKE wacha nikufahamishe;-

1).Ubongo wa mwanamke unafanyakazi haraka kuliko wa mwanaume...
oi wanaume ndo viumbe pekee wanaweza kukaa sehemu moja bila kujuana majina na wakaitana KIONGOZI, MKUU ,KAMANDA na story zikaenda fresh tu
 
Ila nyie mnaozaa na kutelekeza huwa mnavifanya ndotoni au sio. Cases za mwanamke kutupa mtoto chooni kwasababu mwanaume kamkataa na mwanaume anaetelekeza familia anahamia kwa hawara yupi ana afadhali
kwaio kutelekeza na kutupa mtot kwen mavi vinafanana? We jamaa ni manzi eti
 
So wanawaume hawafanyi tena?
🤣🤣🤣 sasa wewe ulitaja mwanamke na ukasema hawafanyi, leo unataka tena umlinganishe na mwanaume ili kuvuta uwema wake uonekane. Be on point bro, swala sio kumlinganisha na mwanaume, ishu ni kuwa wanafanya au hawafanyi??? Mwanamke sio malaika bro, ohoo! Ishi nao kwaakili.
 
Alokwambia hawafanyi ni nani? Nyinyi mna force kupotray kwamba mwanamke ni shida kwenye jamii ndo nikakusaidia kupoint out hata flaws za wanaume pia. Naona unanigeuzia mada
🤣🤣🤣 sasa wewe ulitaja mwanamke na ukasema hawafanyi, leo unataka tena umlinganishe na mwanaume ili kuvuta uwema wake uonekane. Be on point bro, swala sio kumlinganisha na mwanaume, ishu ni kuwa wanafanya au hawafanyi??? Mwanamke sio malaika bro, ohoo! Ishi nao kwaakili.
 
1).Ubongo wa mwanamke unafanyakazi haraka kuliko wa mwanaume.

Halafu.........

8).Wanawake ni rahisi sana kudanganywa na kutapeliwa kuliko wanaume.

Brother naona haja kielewa alicho andika.
 
Kama ulikua huyajui maajabu ya MWANAMKE wacha nikufahamishe;-

1).Ubongo wa mwanamke unafanyakazi haraka kuliko wa mwanaume.

2). Kila mwanamke anaamini kwamba mwanaume ndio anaanza kufa kuliko yeye.

3)Wanawake ni wavumilivu kwenye mahusiano na hata katika changamoto za ndoa kuliko wanaume.

4)Wanawake wanazingatia sana usafi kuliko mwanaume,
Mwanaume anaweza kukaa hata siku 3-4 hata wiki bila kuoga lakin kwa mwanamke hicho hakipo.

5) Wanawake sio watunza siri kuliko wanaume,
wakiwa wanawake kuanzia 3-4 wamekaa jamvin au sehem yoyote wanaweza kujadili wanayofanyiwa na waume zao chumban,
utaskia 1 anasema mimi mume wangu hanilidhishi kabisa ,
lakini kwa wanaume hicho kitu chakujadili mambo ya chumbani hawawezi.

6)Mwanamke ni mshauri mzuri kuliko mwanaume.

7)Kila mwanamke anapenda kusifiwa na mumewe kua yeye ni mzuri na anajua kupika.

8).Wanawake ni rahisi sana kudanganywa na kutapeliwa kuliko wanaume.

9).Wanawake wanaulimi mfupi ( short tongue) kuliko wanaume .

10) Mwili wa mwanamke hutoa uchafu zaidi Kuliko wa mwanaume.

11) Mwanamke huongea maneno mengi zaidi kwa siku Kuliko mwanaume,
Mwanaume ukitaka kushindana na mwanamke kwa kuongea huto muweza kwa maneno sanasana atakutia aibu,
Ukigombana na mwanamke ukiona anaanza kuongea maneno yake ya shombo,
Msogelee mpige kibao cha uso halafu ondoka hilo eneo hatochukua muda mrefu atanyamaza kuongea.

12) Mwanamke ndie kiumbe hatari kuliko kiumbe chochote Duniani,
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli na wala hatuwaonei,
Machafuko mengi Duniani yamesababishwa na wanawake,
Wanaume wengi Duniani wameharibikiwa maisha sababu ni mwanamke,
Hutakiwi kumuamini mwanamke kwa asilimia 100%,
ndio maana mungu kasema tuishi nao kwa akili brother mungu sio mjinga.

13)Mwanamke hawezi kubana mkojo Kama mwanaume,
Ndio maana mwanamke akiwa na mkojo hutoka mbio akichelewa hujikojolea.
Asilimia 90% ya wanawake hujikojolea Kabla ya kufika chooni.

14) Mwanamke hata akiwa mkubwa kiasi gani hawezi kumzidi mwanaume kwa kujiamini,
Yaani ikitokea kwenye Nyumba Kuna wanawake wakubwa kiasi gani halafu wakiume akawepo mmoja tena mdogo,
Wanawake hujisikia wako salama zaidi Kuliko wangekua peke yao licha ya ukubwa wao.

15)Hakuna Mwanamke anaependa kuishi peke yake,
Hata ukimsikia Mwanamke anasema mimi mwanaume wa nini nikitaka Watoto nazaa huyo ni muongo,
Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini moyoni anaumia kinoma,
Moyoni mwake lazima anaumia kwasababu Mwanamke hawezi kujisimamia mwenyewe,
Anakua huru zaidi na furaha akiwa na mwanaume.

16)Usimpige Mwanamke Kwenye TITI LA KUSHOTO ni hatari,
Sehemu hiyo ndio Sehemu hatari zaidi kwa Mwanamke na Mara moja unaweza kusababisha kifo.

17) Wanawake kamwe hawapendani.
Hata ukiwaona wanacheka, Wana pika na kupakua au Wamezaliwa tumbo moja hawapendani.
Ukitaka kulijua hilo angalia wakiwa Pamoja wataongea vizuri lakini akitoka tu mmoja,
Vikao vinaanza vya kumsema huyo mwenzao.

Tofauti kabisa na sisi wanaume.

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
No.8 kwasababu gani wanawake ni rahisi sana kudanganywa na kutapeliwa kuliko wanaume?
 
Alokwambia hawafanyi ni nani? Nyinyi mna force kupotray kwamba mwanamke ni shida kwenye jamii ndo nikakusaidia kupoint out hata flaws za wanaume pia. Naona unanigeuzia mada
Wewe ndio unaforce aonekane hana flaws zozote😂😂😂, unakumbuka original comment yako, hii apa, ""Umesahau moja la msingi, mwanamke hawezi kutelekeza familia yake na kwenda kuhamia kwa kimada akiwaacha watoto wake wanateseka ndani"".

Sasa kumbe unajua hizo flaws anazo na hilo jambo anafanya, hivyo msingi wa hiyo point ni nini hasa. Be logical aisee.

Mwanamke sio malaika, nani sio shida katika jamii mbona wanaume wanaambiwa ni shida katika jamii nahata wengine kusema bila sisi kuwepo jamii ingekuwa na amani, kunamwanaume kaprotest au kujitetea boss. Accept criticism, you're not perfect!
 
Wewe ndio unaforce aonekane hana flaws zozote😂😂😂, unakumbuka original comment yako, hii apa, ""Umesahau moja la msingi, mwanamke hawezi kutelekeza familia yake na kwenda kuhamia kwa kimada akiwaacha watoto wake wanateseka ndani"". Sasa kumbe unajua hizo flaws anazo na hilo jambo anafanya, hivyo msingi wa hiyo point ni nini hasa. Be logical aisee. Mwanamke sio malaika, nani sio shida katika jamii mbona wanaume wanaambiwa ni shida katika jamii nahata wengine kusema bila sisi kuwepo jamii ingekuwa na amani, kunamwanaume kaprotest au kujitetea boss. Accept criticism, you're not perfect!
Nikibishana na wewe hatuta maliza. Tufanye wewe ndo umeshinda. Hii mada ni kama dini. Wewe umechukua kipengele ulichoona kinakufaa umeki quote. Sasa kabla hujaanza kuropoka. Kafanye research yako kwasababu katika kila general rule kuna exceptions. Kwani mtu akisema binadamu ni wabaya mtu anamaanisha wote?? Sasa wewe unalazimisha ionekane ni general rule.

Nimemjibu mleta mada ambae angetaka ionekane sio general ruke angesema kuna baadhi ya wanawake wako hivi na hivi sasa yeye kaja na theories zake alizozitoa kwa mkewe amewajumuisha wanawake wote. Na mimi nimemjibu kwa mtiririko wa mada yake.

Wewe umekuja umeparamia hujui nilikua nna mantiki gani ya kumjibu umekurupuka.

logical kaitafute wewe huko uje uniambie ni wanawake wangapi wanatelekeza watoto compared to wanaume. Unless kama na wewe una experience inayokuhusu sitokulaumu then Una haki ya kuwasema vibaya.

I rest my case
 
Mwanamke ndo kiumbe pekee ukipelekea moto zaidi na kikakojoa bao mbili ataka aolewe na wewe.
 
Nikibishana na wewe hatuta maliza. Tufanye wewe ndo umeshinda. Hii mada ni kama dini. Wewe umechukua kipengele ulichoona kinakufaa umeki quote...
punguza hasira broo😂😂😂, nahiyo siyo exceptions ni wanawake wengi sana tu mkuu. Ila nimekupata mkuu🤣🤣🤣, ila kila mtu anajua hajamaanisha wanawake wote sawa chief😂😂😂. May the case be rested.
 
Lete ushahidi! No research no right to speak[emoji23]
Endelea kunifuatilia tangia mwanzo, mpaka hapa! hili jambo nimelizungumzia sana! kwenye mikutano na makongamano mbali mbali! inaonekana weye ni mvivu kusoma! na bado ntalizungumzia kwa kina tu! usizime computer yako!
 
Endelea kunifuatilia tangia mwanzo, mpaka hapa! hili jambo nimelizungumzia sana! kwenye mikutano na makongamano mbali mbali! inaonekana weye ni mvivu kusoma! na bado ntalizungumzia kwa kina tu! usizime computer yako!
Kumbe wewe ni motivesheno spika?[emoji23]
 
Back
Top Bottom