Maajabu ya mwanamke

Maajabu ya mwanamke

Hakuna la ukweli kuhusu sisi hapo hata moja....

Umesahau moja la msingi, mwanamke hawezi kutelekeza familia yake na kwenda kuhamia kwa kimada akiwaacha watoto wake wanateseka ndani. Mwanaume yuko radhi hata akope mkopo aweke rehani nyumba akatumbue hela na kimada alafu nyumba ikiuzwa bado yeye ni mbabe. Hao ndio wanaume. Kongole kwenu.

Na hili pia, wanaume watatelekeza mtoto ila mtoto akifanikiwa baada ya miaka 20 wanataka mafao yao kama wazazi😂
ni kweli kabisa ndo mana ni wanaume wanaotupa watoto kwenye tundu la choo..apo vp?
 
ni kweli kabisa ndo mana ni wanaume wanaotupa watoto kwenye tundu la choo..apo vp?
Ila nyie mnaozaa na kutelekeza huwa mnavifanya ndotoni au sio. Cases za mwanamke kutupa mtoto chooni kwasababu mwanaume kamkataa na mwanaume anaetelekeza familia anahamia kwa hawara yupi ana afadhali
 
So wanawaume hawafanyi tena?
Hili lilikuwa limekubalika zamani sio sasaivi. Wanawake waliotelekeza watoto na familia zao kwaajili ya pesa mbona wapo na ilishaanza kutokea kwa muda sasa. Wapo walioacha watoto ili waolewe, wapo walioacha familia kabisa kwaajili ya mali na wengine wengi. Times have changed mkuu!
 
usisahahu mwnamke ndo kiumbe pekee anaechongnisha wtt na baba wasipendane apendwe yy tu"
kwa kuwa watoto hawaoni ambayo baba yao anawafanyia mama yao? Mtoto anaekubali kulishwa sumu ikiwa baba ana play part vizuri basi huyo mtoto ni laana.
 
Back
Top Bottom