Maajabu ya mwanamke

Maajabu ya mwanamke

Mama wa kambo michosho mkuu hao wana roho mbaya
Mama wa kambo walio wengi ndiyo hao katika asilimia ndogo walio na roho za husuda ila walio baki ndugu ni raha tupu .

Mimi ni shahidi nimelelewa na wamama ambao hawakunizaa ila nikisema uende kuwauliza kuhusu mimi hapana hata mmoja atakuambia mimi ni mtoto wa kufikia zaidi watakuambia ni mtoto wetu .

Tofauti na sisi wenye ndevu mambo ni mengi na mda ni mchache
 
Uzuri wa sisi wenye ndevu hasa wale wenzetu wanaojitoa kuhudumia mabao ya wengine hawanaga roho mbaya kwenye kuhudumia watoto wa kufikia wa wake zao.

Ila hawa mama wa kambo labda katika 100 ni 1 anaweza kushow love kwa mtoto wa kufikia kama huyo unayemzungumzia. Tena akishakuwa na wa kwake wewe mtoto wa kufikia utateseka sana
 
Uzuri wa sisi wenye ndevu wale wenzetu wanaojitoa kuhudumia mabao ya wengine hawanaga roho mbaya kwenye kuhudumia watoto wa kufikia wa wake zao.

Ila hawa mama wa kambo labda katika 100 no huyo 1 unayemzungumzia akishakuwa na wa kwake wewe mtoto wa kufikia utateseka sana
Ukikuta mama wa kambo ni msumbufu kwa mtoto wa kufikia chanzo mara nyingi uwa ni mwanaume .Niulize kwanini?

Mara nyingi sisi ukishaoa mke mwingine au kuleta mtoto katika ndoa mapenzi uwa yapo kwa mke sana kuliko kwa mwanao

Ni hapo utaanza kumuona mtoto kama anakuharibia familia sasa ni aghalabu mwanamke hampende mtoto ambaye baba yake mwenyewe ana muda naye.

Ila all in all mwenye uwezo wa kufanya mama wa kambo ampende mtoto wa kufiki a ni sisi wenye ndevu ila ndiyo vile mambo ni mengi mda ni mchache basi mtoto anaishia kuadhirika.

Mama wa kambo ni mama ila itategemea na baba kuendelea kuwa baba ikiwa mama wa mtoto hayupo tena.
 
No 5, wanaume ndo wanaongozaaa.

Yaan wanaume wa sahiv ni wambea, wakuda, wasengenyaji, hawana siri. Huko vijiweni ni balaaa.

Wakiongozwa na Boda boda, uwiiiiih
 
Kwa uzoefu wangu hawa wamama wa kufikia wana roho mbaya. Waulize wanawake wenyewe watakwambia
 
No 5, wanaume ndo wanaongozaaa.

Yaan wanaume wa sahiv ni wambea, wakuda, wasengenyaji, hawana siri. Huko vijiweni ni balaaa.

Wakiongozwa na Boda boda, uwiiiiih
labda wanaume wa kwenu huko magomeni
 
Back
Top Bottom