Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,815
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wanaiumiza CCM kichwa usiku na mchana lakini HQs zao zipo kwenye majengo ya kupanga.
Ccm wana maghorofa chungu nzima hauko Dar lakini wanaogopa chama chenye ofisi za kupanga.
Wapangaji noma sana
Hahaha..Nimegundua uzi wangu unashambuliwa kwasababu wengi humu hawana nyumba wamepanga kwahiyo hawaoni uajabu wa shirika kubwa Kama NASA kupanga ila wanalipongeza kisa wengi humu hawana nyumba na probably wanaishi labda kwa dada au shemeji hivi shirika kubwa duniani ambalo linaweza hata kutubashiria kwa usahihi Doomsday likose ofisi zake kweli? Nawapa cahangamoto jengeni nyumba zenu msiishi kutegemea kupanga ni aibu. Japo hatufanani vipato.
Mabank yote Tanzania yanatumia majengo ya kupanga. Kwa hiyo hili nalo ni ajabu?
Usikariri kwamba kumiliki ni bora zaidi ya kukodi.
Marekani karibu kila kitu kinafanyiwa mahesabu makubwa sana.
HahahahKabla yakuleta nyuzi zenu humu muwe mnajiuliza zitaongeza nini kwenye maarifa ya wanakikao sio ilimradi tuu mnaleta nyuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui huyuUkijua undani wa deep state hio kitu haiwezi kukusumbua akili
Kwa nani?Mkuu embu fafanua hapa...
Inakuaje kukodi ikawa bora kuliko kukiliki kwa muda mrefu?
hawana nyumba hawana pa kuishi.
Duniani kuna mambo ya kushangaza .
Unaijua NASA
Ndio nasa shirika la anga za juu la mmarekani ambalo hakuna taasisi ya anga za juu kubwa kuliko yoyote duniani Kama NASA .
Hata hao space x unaowasikia manjonjo yao yote yanaratibiwa na NASA.
Sasa cha ajabu hawana jengo lao binafsi jengo ambapo ofisi zao zimo pale NASA square Washington DC sio lao wamepanga .
Linamilikiwa na wakorea kusini. Tena Kodi Yao ya pango inaisha 2028.
Kampuni ya Hana Assets ndio inamiliki Lile jengo la ghorofa Tisa pale Washington.
Hivyo NASA na mbwembwe zao zote wamepanga hawana nyumba hawana pa kuishi.
Space X wanafanya baadhi ya mambo ambayo NASA inabidi wayaige. Space X ni ya kampuni binafsi ilhali NASA ni ya serikali na kama ujuavyo mambo ya serikali yana ukiritimba. Space X wanawasaidia NASA mambo kadhaa na hata huchukua contract za NASA kwa mambo yaliyowashinda.Hata hao space x unaowasikia manjonjo yao yote yanaratibiwa na NASA.