Katika uwanja wa diplomasia,
Vipi ktk upande wa demokrasia, mbona hujagusia kabisa? Ni kwasabb rais Samia amepuyanga sana.

++Anafungia media hovyo.
++Anakataza maandamano.
++Amekataa kufanya marekebisho ya muundo wa time ya uchaguzi.
+,+Anafanya utekaji na mauwaji ya wapinzani.

Hivyo wachambuzi machawa kamwe hamuwezi kugusia ukweli kama huu.
 
Inasikitisha sana vitu kama hivi au haki inapatikana kwa hisani ya Raisi, tupigane kujenga mifumo ya kutatua issues kama hizi, hii ni haki na haitegemei hisani ya any politician
 
Hakuna kama Mama.
 
Ajabu la Samia ni kuwa rais kitu ambacho hata kuku wasingeruhusu
 
Mama wa Taifa, Rais dkt Samia. Mungu azidi kumlinda, amtie nguvu ya kututumikia hadi mwaka 2035.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…