Maajabu ya RC Chalamila kushupalia ulevi kinyume na sheria

Maajabu ya RC Chalamila kushupalia ulevi kinyume na sheria

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20210530-000351.png
 
Huyu boya hana jipya....anaropoka tu tunampsa siku 100 tuone Mwanza anaiweza ama la....ole wake mapato yashuke....
 
Kabla ya saa kumi kama ni bia moja mbili za kushushia chakula sio mbaya.
 
Mpaka mwisho wa mwaka, sijui ni nani atakuwa bado anasifu kuwa utawala wa marehemu ulingwa mkono na wananchi wengi.

Ila hawa ni watu ovyo kuliko marehemu. Alipokuwa hai walishangilia kila tamko, ameondoka, wanamlaani kwa kila alichofanya.
 
Anajipendekeza kama Ndugai tu; alikuwa wapi kutamka hayo alipokuwa Mbeya anakamata watu na kuimba mapambio enzi ya JIWE?
Aliogopa kutekwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wewe ulikuwa humuogopi dikteta?
 
Mlisema atakatwa lakini amepanda zaidi toka RC Mbeya kuja kuwa RC Mwanza jijj la pili TZ. Fanyakazi zako utakufa na stress bure dada!
Sidhani kama kuna mtu atapa stress ya jambo kama hili. Tatizo la viongozi kama hawa ni kuwa hawana msimamo. Na dunia hii ogopa sana sana mtu asiye na msimamo hasa kama ni kiongozi. BTW alilosema ni kweli kabisa ila kukosa kwake msimamo ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom