LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Tafuta video zake you will never be disappointedI am so motivated aisee
Tafuta video zake you will never be disappointedI am so motivated aisee
🤣🤣🤣🤣🤣Tulio zaliwa 13 september ☝️
Muende kwa Mwamposa mkakanyage mafuta hakuna jinsiTulio zaliwa 13 september ☝️
His first album Ready to Die was released on SEPTEMBER 13,1994.Notorious big
Mkuu mimi habari kama hizi hua sio muumini wala shabiki kabisa🤣, unless kama katika eneo la tukio walikua wote, a bullet for pac was for pac,,, a bullet for big was for big
In addition to that jamaa kwenye hizo videos ametoa na tafsiri ya kiroho ya Biggie kunusurika kwenye hiyo ajali.His first album Ready to Die was released on SEPTEMBER 13,1994.
Tupac Shakur passed away on SEPTEMBER 13,1996.
Mwandishi anasema " Tupac was killed by a bullet which was initially, spiritually designed for Biggie Smalls.
Siku tatu baada ya Tupac kufa yani tarehe 16 SEPTEMBER 1996, Biggie anapata ajali mbaya sana ambayo nusra ichukue uhai wake.
Mwandishi anasema " Biggie Smalls accident of September 16, 1996 was spiritually related and connected to Tupac death.
Inafikirisha Sana aisee
🤣🤣 Ni Uzi wa kiroho huu na Apostle nae ni mtu wa rohoniApostle kaingiaje tena kwenye Uzi wangu jamani?
Jamaa ni noma kweli nimemchek TiktokIn addition to that jamaa kwenye hizo videos ametoa na tafsiri ya kiroho ya Biggie kunusurika kwenye hiyo ajali.
He is making a lot of sense kwakwweli
Ni noma na nusu ukiona Likud amemkubali mtu basi ujue huyo mtu ana kituJamaa ni noma kweli nimemchek Tiktok
🤣🤣🤣🤣🤣 Ni Uzi wa kiroho huu na Apostle nae ni mtu wa rohoni
Au alipigwa na ile bullet ya kwenye movie ya Wanted😁😁😁, ilikuwa imetargetiwa B.I.G ila kwa bahati mbaya ikiwa njiani kumtafuta BIG tupac akaingilia kwa bahati mbaya ikimpataMkuu mimi habari kama hizi hua sio muumini wala shabiki kabisa🤣, unless kama katika eneo la tukio walikua wote, a bullet for pac was for pac,,, a bullet for big was for big
Haya Mambo ni spiritual . This guy is talking about spiritual bulletAu alipigwa na ile bullet ya kwenye movie ya Wanted😁😁😁, ilikuwa imetargetiwa B.I.G ila kwa bahati mbaya ikiwa njiani kumtafuta BIG tupac akaingilia kwa bahati mbaya ikimpata
🙏🙏🙏🙏🙏🙏Ni noma na nusu ukiona Likud amemkubali mtu basi ujue huyo mtu ana kitu