dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Spiritual Bullet, na ipoje hyo spiritual bullet umbo lake limekaaje ni kama risasi ya kawaida auHaya Mambo ni spiritual . This guy is talking about spiritual bullet

Unajuaje hii ni risasi ya kiroho na sio risasi ya kawaidaFact
Isaya 54:17Spiritual Bullet, na ipoje hyo spiritual bullet umbo lake limekaaje ni kama risasi ya kawaida au
Oh kwenye bible wame define jinsi spiritual bullet ilivyoIsaya 54:17
sjajuaAu alipigwa na ile bullet ya kwenye movie ya Wanted😁😁😁, ilikuwa imetargetiwa B.I.G ila kwa bahati mbaya ikiwa njiani kumtafuta BIG tupac akaingilia kwa bahati mbaya ikimpata
🙌🙌🙌🙌🙌Oh kwenye bible wame define jinsi spiritual bullet ilivyo
Yote yameelezewa kwenye hizo videosKwahiyo mratibu wa kifo alikosea?? Kwanini risasi ya huyu imuue huyu??
Nani anaratibu hayo mambo ya kuchapana risasi huko rohoni??
Ni Yule Yule tena jamaa wa Tiktok amespot video anasema :
Tupac aliuwawa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie.
Twende kazi : 👇👇👇👇
Akizungumza kupitia kinywa na sauti ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em, pepo alie kuwa amempanda Tupac Shakur wakati yupo studio anarekodi wimbo " Hit Em Up" anasema ya kwamba:
TUPAC SHAKUR ALIUWAWA KWA RISASI AMBAYO AWALI KATIKA ULIMWENGU WA ROHONI, ILIKUWA IMEKUSUDIWA KUMUUA BIGGIE( ILIKUWA DESIGNED AND PROGRAMMED FOR BIGGIE SMALLS)
Biggie mwenyewe aliongea kuhusu jambo hili kwenye album yake ya kwanza iitwayo " Ready To Die"
Kwenye album hiyo ( Ready To Die), Biggie Smalls alisema wazi wazi kabisa kwamba " Tupac Shakur atakuja kufa kwa risasi ambayo ilikusudiwa kuniua mimi ( Biggie Smalls).
Tupac Shakur mwenyewe ali confirm kuhusu jambo hili kwenye interview aliyo ifanya mwaka 96 punde baada ya wimbo Hit Em Up kuachiwa.
VERY INTERESTINGLY👇👇👇
1. Album ya kwanza ya Biggie Smalls iitwayo " READY TO DIE" ilitoka : SEPTEMBA 13,1994.( TAREHE 3 MWEZI WA TISA MWAKA 1994)
2. Tupac Shakur alifariki dunia SEPTEMBA 13,1996 ( TAREHE 13 MWEZI WA TISA MWAKA 1994)
Jamaa anauliza, ( Album ya kwanza ya Biggie iitwayo Ready to Die kutoka TAREHE 13 SEPTEMBA 1994 na TUPAC kufariki SEPTEMBA 13,1996, was it a coincidence?
Anajibu kama ifuatavyo:👇👇
Hapana haikuwa coincidence . Na hii ni kwa sababu katika ulimwengu wa roho hakuna kitu kinacho itwa coincidence. Everything is systematically, strategically and carefully planned.
Anamaliza kwa kutoa hoja inayo filirisha Sana 👇👇👇👇👇👇
TAREHE 16 SEPTEMBA 1996, yani siku tatu baada ya Tupac kufa. Biggie alipata ajali Sana ambayo almanusra iuondoe uhai wa Biggie.
Anauliza tena? Was it a coincidence kwamba Tupac kafa TAREHE 13 SEPTEMBA 96 halafu Biggie kanusurika kufa TAREHE 16 SEPTEMBA mwaka huo huo 96?
Anatoa jibu kwamba hiyo sio coincidence. Anaongeza kwa kusema 👇👇👇👇
Ajali ya Biggie ya Septemba 16, 1996 was spiritually connected and related to the death of Tupac.
Anasema ataanza kurusha hewani rasmi video za kitabu hiki TAREHE 16 JUNI 2025 ambayo ni birthday ya Tupac.
View: https://youtube.com/watch?v=0IOdnRuhkeg&si=YGvjHh9jOTrvVtYh