Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
 
Kitendo cha kuita wananchi wake MBWA wanaobweka huyu mama hastahili kiwepo ikulu
 
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa
Kuwa makini kijana weka ushahidi ni wapi rais amewaona wananchi mbwa?
 
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
Samia na genge lake hao. Halafu kuna umbwa kama Lucas Mwashambwa wanatoa pongezi
 
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
Ati leo yule ke tuita mbwa katuma Makonda, Lukuvi na Kabudi kwenda kuongea na mbwa. Dharau za kishenzi. Kabudi tangu lini kawa upande wa wananchi.
 
Ni ulevi wa madaraka unamsumbua! Bado kidogo atawehuka!
 
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
Chadema na wanaharakati wenu uchwara Mwabukusi na Njau ndio mliofungua kesi. Mwananchi mliyempachika amekataa Kwa kuwa ameshaona madhara ya hizo siasa mnazofanya
 
Acha kuchanganya Mwabukusi na hiyo takataka mbwa Njau!!
 
Unabwekea ndege iko mafuti kibao angani, jifunze uwe Germany shepherd walau ujilinde mwenyewe
 
Back
Top Bottom