Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
Afadhani tungekuwa mbwa ila mbwa mpumbavu. Mimi najua mbwa koko na mbwa kichaa ila mbwa mpumbavu sijawi ona.
 
Ebu mtupumzishe kwanza tumalize ya huku kizimkazi kwa akina mauzinde🤣
 
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!

Hakika Serikali kama alivyosema Samia inatuona sisi wananchi ni mbwa tu!
Hapo ametuita mbwa kwa vitendo huyu Chura duh!!
 
Back
Top Bottom