Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

mzibua chemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
476
Reaction score
412
Matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar, wanaume wamekua wakikesha kunywa dawa za kimasai yote haya ni kuwaridhisha hawa viumbe waliokua wagumu kufika kileleni yaani hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika.

Kimapenzi hali inayochangia wanaume wengi kila kukicha kukosa raha ya ndoa na hii inapelekea kila ukipita mahali redioni watu wanajipigia hela kwa matangazo ya tunatibu nguvu za kiume ila suluhisho ya yote ni vumbi toka Kongo ambalo halina madhara na linatibu kabisa na hii humezi au kunywa bali ni kavumbi tu katone unapaka na mate kwenye kichwa cha asuman huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida ikaja ukaenda kupanda kunako kina hapo utapata kupewa stori zote hata kama aliwahi kutoka nje ya ndoa Bila kusahau utaingia kwenye nyavu ukiwa shujaaa kwa bao la kusisimua toka kwenye utosi hadi miguuni.

Kiukweli hii ni maajabu maana linatibu na hii si kwamba ukitumia usipofanya sex utaumia wapi hii ni mara dufu ya maajabu ya vumbi, jitahidi uonekane shujaaa kwa hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika shuhulisho ni vumbi tu maana hamna namna tena kwa hawa viumbe.
 
Kama hauna shida yeyote kwa nini utumie hayo mavumbi....Ukiona umeanza kutumia hayo mavumbi hakika jiweke kwenye list ya watu wenye matatizo ya nguvu za kiume...Hakuna cha kusema haina madhara wala inayo madhara....Kwa nini utumie hayo mavumbi kama hauna matatizo?
 
mkuu ww ukiona Huna shida yoyote mshukuru mungu Kuna watu wana shida Kuna watu wanaogongewa wake zao kwa kutowafikisha pale kileleni pia Kuna watu wameoa wake zao wapenzi wao ni wagumu kuridhishwa sana kama wako ukimwandaa ukipiga anakojoa ni jambo la kumshukuru allah manu
 
Kama hauna shida yeyote kwa nini utumie hayo mavumbi....Ukiona umeanza kutumia hayo mavumbi hakika jiweke kwenye list ya watu wenye matatizo ya nguvu za kiume...Hakuna cha kusema haina madhara wala inayo madhara....Kwa nini utumie hayo mavumbi kama hauna matatizo?
manu ndoa zina siri nyingi sana aisee Kuna watu wanalia kwa mambo wake zao wanavyofanyiwa pia Jua Kuna watu wana magonjwa mbali mbali kama stress imepelekea adi wamekosa nguvu za kiume pia confidence nayo inachangiwa acha wapate dawa wawaridhishe hawa viumbe mkuu
 
Ni kweli mkuu kuna wanaochepuka kwa ajili ya kutokuridhishwa na kuna wanaochepuka kwa ajili ya tabia tu hata ukeshee hapo ukitoka tu asubuhi na yeye keshajipeleka mtaa wa pili...
 
Ili uume usimame ni lazima damu isukumwe na moyo kwa wingi kwenda kwenye mishipa ya uume, ambayo sasa huitanua misuli ya uume.

Mtu aliye rijali, hii ni normal process iwapo taarifa zitapelekwa kwenye mifumo ya ufahamu. Sasa, watu wenye matatizo ya ERECTILE DYSFUNCTION hupewa dawa za kusaidia kutanua mishipa ya uume kwa muda fulani ili damu iende kule na uume usimame.

Lakini hizi dawa sio SELECTIVE, zinatanua mishipa mingine ya damu hasa ile ya Mfumo wa MOYO, na zina tabia ya kushusha presha.

Sasa mtu haumwi, anaamua kutumia haya madawa ambayo mengi ni ya ASILI & hayajapitia studies kujua kwa kiasi gani yanaathiri mishipa hiyo.

USHAURI: Usitumie haya madawa bila kupima & kupata ushauri wa wataalamu/madaktari.

I really discourages people from using these drugs, unless otherwise instrusted so na wataalamu.

"ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO."
 
hahahahaha vijana bwana, hapo kuna mambo mawili (nguvu za kiume) na (kuwahi kufika kileleni).

kama mwanaume ana tatizo la nguvu za kiume, mashine haisimami fresh na amejaribu kufanya mazoezi na kula vyakula vya virutubisho hana budi kuapply vumbi.

lkn kama mwanaume uko imara mkasha mwinule unasimama fresh kbs hlf unapply mavumbi kumkomoa shori, hiyo sifa sasa
 
matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi.. wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza... wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar.... wanaume wamekua wakikesha kunywa dawa za kimasai yote haya ni kuwaridhisha hawa viumbe waliokua wagumu kufika kileleni yaani hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika Kimapenzi Hali inayochangia wanaume wengi kila kukicha kukosa raha ya ndoa na hii inapelekea kila ukipita mahali redioni watu wanajipigia ela kwa matangazo ya tunatibu nguvu za kiume..... ila suluhisho ya yote ni vumbi toka Kongo ambalo halina madhara na linatibu kabisaaa na hii humezi au kunywa Bali ni kavumbi tuu katone unapaka na mate kwenye kichwa cha asuman huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida ikaja ukaenda kupanda kunako kina hapo utapata kupewa stori zote hata kama aliwahi kutoka nje ya ndoa Bila kusahau utaingia kwenye nyavu ukiwa shujaaa kwa bao la kusisimua toka kwenye utosi adi miguuni kiukweli hii ni maajabu maana linatibu na hii si kwamba ukitumia usipo fanya sex utaumia a wapi hii ni mara dufu ya maajabu ya vumbi.... jitahidi uonekane shujaaa kwa hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika shuhulisho ni vumbi tuu maana hamna namna tena kwa hawa viumbe.........

Hembu niambie nalipataje na mm nijaribu mkuu
 
hahahahaha vijana bwana, hapo kuna mambo mawili (nguvu za kiume) na (kuwahi kufika kileleni).

kama mwanaume ana tatizo la nguvu za kiume, mashine haisimami fresh na amejaribu kufanya mazoezi na kula vyakula vya virutubisho hana budi kuapply vumbi.

lkn kama mwanaume uko imara mkasha mwinule unasimama fresh kbs hlf unapply mavumbi kumkomoa shori, hiyo sifa sasa
na hakuna mwanamke duniani anae penda mwanaume anayewahi kufika kileleni
 
Ili uume usimame ni lazima damu isukumwe na moyo kwa wingi kwenda kwenye mishipa ya uume, ambayo sasa huitanua misuli ya uume.

Mtu aliye rijali, hii ni normal process iwapo taarifa zitapelekwa kwenye mifumo ya ufahamu. Sasa, watu wenye matatizo ya ERECTILE DYSFUNCTION hupewa dawa za kusaidia kutanua mishipa ya uume kwa muda fulani ili damu iende kule na uume usimame.

Lakini hizi dawa sio SELECTIVE, zinatanua mishipa mingine ya damu hasa ile ya Mfumo wa MOYO, na zina tabia ya kushusha presha.

Sasa mtu haumwi, anaamua kutumia haya madawa ambayo mengi ni ya ASILI & hayajapitia studies kujua kwa kiasi gani yanaathiri mishipa hiyo.

USHAURI: Usitumie haya madawa bila kupima & kupata ushauri wa wataalamu/madaktari.

I really discourages people from using these drugs, unless otherwise instrusted so na wataalamu.

"ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO."
mkuu kwa izi chips za mafuta ya trassfoma na vyakula vya kusindika kwa kweli Dar Kuna mwanaume rijali kweli?
 
matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi.. wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza... wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar.... wanaume wamekua wakikesha kunywa dawa za kimasai yote haya ni kuwaridhisha hawa viumbe waliokua wagumu kufika kileleni yaani hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika Kimapenzi Hali inayochangia wanaume wengi kila kukicha kukosa raha ya ndoa na hii inapelekea kila ukipita mahali redioni watu wanajipigia ela kwa matangazo ya tunatibu nguvu za kiume..... ila suluhisho ya yote ni vumbi toka Kongo ambalo halina madhara na linatibu kabisaaa na hii humezi au kunywa Bali ni kavumbi tuu katone unapaka na mate kwenye kichwa cha asuman huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida ikaja ukaenda kupanda kunako kina hapo utapata kupewa stori zote hata kama aliwahi kutoka nje ya ndoa Bila kusahau utaingia kwenye nyavu ukiwa shujaaa kwa bao la kusisimua toka kwenye utosi adi miguuni kiukweli hii ni maajabu maana linatibu na hii si kwamba ukitumia usipo fanya sex utaumia a wapi hii ni mara dufu ya maajabu ya vumbi.... jitahidi uonekane shujaaa kwa hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika shuhulisho ni vumbi tuu maana hamna namna tena kwa hawa viumbe.........
Linapatikanaje bwashe vumbi kutoka congo.
 
manu ndoa zina siri nyingi sana aisee Kuna watu wanalia kwa mambo wake zao wanavyofanyiwa pia Jua Kuna watu wana magonjwa mbali mbali kama stress imepelekea adi wamekosa nguvu za kiume pia confidence nayo inachangiwa acha wapate dawa wawaridhishe hawa viumbe mkuu
Then tiba hapo inatakiwa kudeal na hizo STRESS na kurudisha CONFIDENCE. Ukifanikiwa kufanya hayo then nguvu za kiume zitarudi automatically na sio kwa kulisha watu Vumbi!. Remember, SHORT-CUT is always a WRONG CUT.
 
Back
Top Bottom