Maajabu ya vyoo vya umma!

Maajabu ya vyoo vya umma!

Hostel chema iliziba, ilipo zibuliwa wakakuta kokwa la embe, sasa sijui uyu alikua anakula embee chooni au alitumia kama toilet paper!
Hawa wenye kutumia makokwa ya embe watakuwa aliens!!
 
Kiongozi wa Wanafunzi akiondoa vibunzi
iu

Karibuni🙏
 
Huyo aliyekuwa anaingia na mawe sasa hv n brother men Kabisa na anakula babes pisi kali anajiita Poor Brain
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Walllah wee jamaa huna akili...
Ukiingia kwa 18 takuungia wewe mpaka ujute 😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Walllah wee jamaa huna akili...
Ukiingia kwa 18 takuungia wewe mpaka ujute 😂😂😂😂😂😂
Tabia ya kuingia na mawe chooni umeacha.?
 
Afadhali Muhimbili wafunge camera.

Ila naamini watashuhudia wasiyotarajia!!
 
Back
Top Bottom